Mambo kumi ambayo wanaume tunaongea tukiwa kijiweni kuhusu mahusiano

george aloyce

JF-Expert Member
Aug 22, 2017
1,177
1,827
Mambo 10 Mwanaume hutafundishwa popote

1. Kama upo naye simu yake inaita hapokei anaweka silence jikatae mapema

2. Kama upo na mahusiano na mdada simu yake ina password kila kona mpaka kwenye contact futa namba yake kausha

3. Kama unaongea naye hajaweka simu chini kukusikiliza endelea na mambo yako

4. Kama umemtoa out mnakula ila yupo bize kuchat na simu na akipigiwa simu anaenda kupokelea chooni lipia bili uende zako

5. Kama ni mpenzi wako kila ukipiga simu inatumika masaa na masaa kausha tu

6. Kama anakupangia muda wa kukupa uchi aiseee utateseka sana mbeleni jikatae

7. Kama anakunywa pombe na mashoga zake kwenye mabar na wewe haupo hapo jikatae tu mke anatakiwa atulie ndani kama anakunywa anywe na mume wake full stop

8. Kama kila siku wewe ndio unaanza kumtafuta yeye hajawahi kukuanza na wala hajishtukii hapo haupendwi kausha

9. Kama hana aibu kachetuka achana naye

10. Kama unaogopa utakosa utelezi utajua mwenyewe bana
1701866493708.jpg
 
Back
Top Bottom