Ukiweza kubadilisha wanawake wawili watatu ni ngumu sana kudumu na mwanamke mmoja

Braza Kede

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
1,730
3,369
Hawa ni wale mnaishi pamoja kama mtu na mkewe lakn hamjafunga ndoa na sio hawa wa ingia toka (one night stand).

Hawa bana ukishawabadilisha wawili watatu utaishia kuona hamna jipya chini ya jua, wote ni dugu moya.

Baada ya hapo kinachofata ni mwendo wa kuwabadilisha kila uchwao kama tairi za baskeli maana unaona hakuna mwenye unafuu.

Hapo kama na roho wa mungu ajaingilia kati huji kuoa maishani.

Tupe uzoefu wako.
 
mimi sijui idadi ya wanawake nililala nao, ni wengi mno wengine nimeshawasahau majina hadi sura.
 
Back
Top Bottom