Katika Mahusiano nani anaweza kurejesha Mapenzi yanapopungua?

Hili swali nimeamua kuwaletea Wadau humu Jukwaani, baada ya kujiuliza kwa muda Mrefu sana bila majibu.
Je kwenye Mahusiano ya Nowdays , ,ni nani hasa anaweza kurejesha Mapenzi mubashara pale yanapopungua, au kuchokana?
mkichokana peaneni break ili kila mmoja aone umuhimu wa hilo husiano, utauliza kwenye ndoa hiyo break itakuaje? Hata mimi sijui.
 
Mwanamke anaweza kurudisha mapenzi.

Wanaume moyo wao ni mwepesi sana kujirudi ila hawezi kuanza kuomba samahani.

Na nyie mkiombwa samahani siyo mvimbe tena
Mm imenishinda tunaishi tu kama wageni tumekutana tu Kwa mara ya kwanza ila tukiwa na wageni tunapritend sana nishachoka tuna zaidi ya miezi 8.
 
Hii imenikuta mara kadhaa tukajitahid kurepair but by this time nimechukua break kwanza, Umuhim wangu ukionekana ntarud mchezoni na kama sivyo basi na atafutwe mwali mpya haraka iwezekanavyo nimewapa kazi wajomba, Life is too short kusukuma gali kwenye jum.
Kumbe tuko wengi mm nimemwambia atafute tu mwanaume mwingine maana ameshanichoka..
 
Mimi nilimwambia nataka nikupe zawadi akauliza zawadi gani, Nikamwambia Ya kukuacha ikiwa bado nakupenda. Akaikataa.
Kwani kachukua muda basi kajichanganya tena nikasema isiwe kesi sahii sikushauri tena tembea kapate raha uko mbele uenjoy uhuru wako.
 
Back
Top Bottom