Namwachaje binti wa kitanga?

Umetumia Cha Arusha au Makambako?

TOKA KWA STAILI ULIOINGILIA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Hajanikosea lolote

Ila naona anahatarisha uhai wa ndoa yangu

Nina nia ya dhati kuachana naye

Ila sasa haya mahaba anayonipa sijui nitayapata wapi kwingineko

Natokaje viongozi mbona kama nimeshanasa mazima kwa mdigo huyu

Wakuu nafanyaje kuokoa ndoa yangu
Nipe namba yake dogo
 
Wake zetu wanaushauri mzuri sana sema hatujui tu,unaonaje umshirikishe shemeji hiyo dillema yako MKuu?who knows unaeza shangaa akabubali uke wenza na kama una Bahati mnaweza kuwa mnapiga threesome mara Moja Moja ,tatizo unajitesa wakati maisha ni haya haya.
 
Back
Top Bottom