Habari ya siku nyingi.
Kweli kama vile mkate mgumu ukiwekwa kwenye chai unavyokuwa ndivyo hivyo na wanaume tunavyokuwa mbele ya wanawake kunako 6*6, na ndiyo maana katika moja ya njia ya mwanamke...
Leo niwasaidie hili pengine we n mhanga wa hili eneo kwenye ukoo wenu
nawiwa kuongelea hili maana mmoja wa waathirika wa hili.
Kabla ya kuoa fanya mapping ya familia yako na unayoenda kuoa...
Habari wana JF
Leo nawapa ushuhuda wa maisha ya ndoa ya wazazi wangu...
Baba aliachishwa kazi ghafla miaka 14 iliyopita. Mama anafanya biashara ndogondogo amekuwa ndio kila kitu chakula, mavazi...
Kuna watu wanakuwa na tabia ya kuhukumu wanaume kisa tu wameona wanawake wao wanalia akili zao zinawatuma moja kwa moja kuwa wanateseka saana kwenye ndoa zao saana
Ila ndugu zangu wanawake ni...
Naitaka Nioe Sasa Kuna MTU kaniambia ukitaka kuoa Kuna mlolongo mrefu hadi kuandika barua kwa mkono au kutype then iende kwa binti usubiri majibu.
Binafsi Mimi ni Mtu ambae hua sipendi vitu vya...
habari wadau.
baada ya muimbaji wa gospel maarufu nchini Nigeria Moses Bliss kumchumbia Binti wa kighana mwenye uraia wa uingereza ambaye amejuana nae kupitia mtandao wa instagram mwaka...
Wadau mpo? Kuna rafiki yangu anaomba ushauri mdogo wa mke wake ambaye wanaishi hapo (nyumbani kwa rafiki yangu)kwa muda sasa ameomba amsaidie kazi,Sasa anajiuliza haiwezileta shida kweli japo...
Kutoolewa katika umri fulani huja na maneno mengi, na mengi huwa hasi, ya kukera au kuumiza. Lakini je, kila kitu ni kibaya kwa wanawake ambao wamefikia umri wa miaka 35 au zaidi na bado...
Aisee wonders shall never end, nilichokishudia jana sitakisahau. Kuna kibabu kimoja ni kimlinzi mahali. Sasa katika hali ya kushangaza kinatembea na vibinti, wamama, wake za watu n.k, tena wale...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Lazima uliwe nauli wewe si lijinga. Na mimi nawasisitiza kina dada endeleeni kuwachangamsha ubongo wanaume wasiojitambua na wasiojiamini.
Wewe umemtongoza Binti...
Habarini wakuu,
Nipo hapa kwenye moja ya Bar maarufu sana hapa Sinza. Naona tu kijana anapitishiwa pesa kwenye mapaja ili ampatie mhudumu huku akimtolea bezi mdada wa watu na kumlahumu kuwa haleti...
Kuna jamaa yangu mmoja nilikuwa naishi naye geto moja huko dar
Alikuwa na saloon yake ya kunyoa, hivo akanikabidhi mimi, yeye anaenda kuvua na kurudi asubuhi tunapika tunakula na mambo mengine...
By default wanadamu tulipoumbwa kila jinsia ilipewa majukumu yake, jukumu la viumbe wenye jinsia ya kiume (wanaume) wameumbwa kutawala jinisia ya kike (kike) katika kila Nyanja na jinsia ya kike...
Habarini wadau.
Naombeni ushauri wenu kwenye hili bila kubagua nani atoe huo ushauri.
Najuwa wengi wetu especially wanaume tumepitia ile hali (situation) ambapo kuna mwanamke ulimpenda sana kwa...
Habari zenu,
Hili ni swali kwa Vijana wabishi walioamua kuoa Single Mother.
Unajisikiaje pale unapoona Single Mother uliemuoa anampost mtoto wake na kuandika maneno kama My World, My...
Wana JF
Kama uliwahi kuwa na x-wako hasa hasa mwanamke na unajua kabisa anateseka mno mwondolee laana hiyo ila usifungamane naye kabisa na usishabikie wanayopitia maana wengi wapo kwenye tanuru...