kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,666
- 4,365
Kuna watu wanakuwa na tabia ya kuhukumu wanaume kisa tu wameona wanawake wao wanalia akili zao zinawatuma moja kwa moja kuwa wanateseka saana kwenye ndoa zao saana
Ila ndugu zangu wanawake ni waongo saana.
Don’t take your time kumpa haki mwanamke kisa tu analia
Machozi ya uongo ya wanawake yamewafungisha watu saana.
Machozi ya uongo ya wanawake yameua wanaume wengi saana.
Katika nchi za wenzetu machozi ya uongo ya wanawake yamefanya wanaume wengi wawe homeless