Unajisikiaje Single Mother anapompost mwanae kwenye mitandao?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Habari zenu,

Hili ni swali kwa Vijana wabishi walioamua kuoa Single Mother.

Unajisikiaje pale unapoona Single Mother uliemuoa anampost mtoto wake na kuandika maneno kama My World, My Everything halafu Baba Mtoto nayeye anakuja kucomment My family.?

Kumbuka kuwa wewe hujawahi kutamkiwa hayo maneno na hata ukitamkiwa hauamini kuwa anamaanisha?

Aisee! Kweli mlioa Single Mother mna mioyo Migumu kulalaleki.
 
Banae nimetoka kupokea muamala Muda huu kutoka Kwa single Maza..

Huko Malipo mnapokea miamala na kuwekwa kwenye mabilboard kama alivyofanya Zamaradi?..

Yani hata ukimsema vipi huyo uliyemzalisha hatumuachi ng'oo wahumi twala mpaka maini na bado ukizubaa mtoto unaweza usimpate vilevile..🦥🦥🦥
 
Habari zenu,

Hili ni swali kwa Vijana wabishi walioamua kuoa Single Mother.

Unajisikiaje pale unapoona Single Mother uliemuoa anampost mtoto wake na kuandika maneno kama My World, My Everything halafu Baba Mtoto nayeye anakuja kucomment My family.?

Kumbuka kuwa wewe hujawahi kutamkiwa hayo maneno na hata ukitamkiwa hauamini kuwa anamaanisha?

Aisee! Kweli mlioa Single Mother mna mioyo Migumu kulalaleki.
Mkuu sasa unaonaje wivu mama kumwita mwanae maneno mazuri. Kawaida tu maana bila shaka mama anampenda mwanae kuliko wewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom