Shining Light
JF-Expert Member
- Jan 8, 2024
- 214
- 291
Wakuu hii imekaaje? ni Kweli?
Pisi kali bila wigi na kope bandia haitoki hiyo ni pisi mia sio kali.ni mbwembwe tu pisi kali ni pisi kali hata asuke vipi
tunaongea tu hapa, msuko ni kitu cha mwisho kuangaliaPisi kali bila wigi na kope bandia haitoki hiyo ni pisi mia sio kali.
Hivi we dogo unapataga kweli ata muda wa kupitia notes??tunaongea tu hapa, msuko ni kitu cha mwisho kuangalia
'pisi kali' namaanisha mdada mrembo sio sista duu
kaushaHivi we dogo unapataga kweli ata muda wa kupitia slid??
labda kwako ila mimi navutiwa sana na wanaosuka kawaida sio zile style chakaramutunaongea tu hapa, msuko ni kitu cha mwisho kuangalia
'pisi kali' namaanisha mdada mrembo sio sista duu