Umeshawahi kumshauri mtu aachane na mpenzi/more wake, ikawa kinyume na ulichomshauri

LA7

JF-Expert Member
Aug 26, 2019
457
1,742
Kuna jamaa yangu mmoja nilikuwa naishi naye geto moja huko dar

Alikuwa na saloon yake ya kunyoa, hivo akanikabidhi mimi, yeye anaenda kuvua na kurudi asubuhi tunapika tunakula na mambo mengine,

Tulikuwa tunatunza pesa yetu vizuri tu ilifika Kama laki tatu hivi, sasa kuna mdada mpangaji wa chumba cha jirani wakaanza mahusiano, ikabidi yule dada akahamia mle ndani,

Sasa jamaa akawa haendi tena kuvua samaki, kila mda wapo tu ndani na wamevaa bukta na kanga,

Tukatumie ile hela ikaisha yote tuliyoitunza, sasa wakawa wanakuja saloon kuchukua hela ya chai chakula Cha mchana na usiku, hivo nikawa nafanyia tu kazi matumbo,

Sasa mimi nikawa namchana ukweli kuwa yule demu ndo anamlemaza kwani hataki tena hata jamaa aende job, basi bhana mimi nikamshauri aachane na yule demu, akawa ananiunga na kunishukuru kwa mawazo mazuri, baada ya kuona mambo yanazidi kuwa mbaya nikajisapia zangu na kuwaacha, baada Kama ya mwaka hivi, akanipigia simu na kuniambia wamepata na mtoto.
 
Wakipatana utaonekana kituko
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mi huwa nashauri mara nyingi tu, kuhusu utekelezaji mtajua wenyewe.

Na hata mkirudiana ntawaambia hongereni, i own my words wala sionagi aibu kusema kile ninachoamini.
 
Back
Top Bottom