Wakuu.
Kiukweli hapo nyuma nilikuwa si mtu wa mademu kabisa.
Nimesoma o level na a level fresh , nilipomaliza six , nilijitahidi kutongoza girls angalau namimi nichakate mbususu bila mafanikio...
Mwaka jana mwezi wa 12 nilitembelewa na baba angu mkubwa kutoka mkoani baada ya miaka mingi bila kuonana ali niambia neno li lilo nikuna ni kaamua kulifanyia kazi, sasa hivi hu ni mwezi wa tano...
INTRODUCTION:-
Nikiwa kama kijana mkataa kuoa, moja wapo ya sababu inayonifanya kugoma kuoa ni MDOMO wa MWANAMKE.
Aisee hawa ni mama zetu, dada zetu, binti zetu, shangazi zetu ila WANA MIDOMO...
Wakuu habari za uzima?
Leo nataka niongee na baadhi ya wanaume wenzangu wanaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwao kana kwamba sisi wanaume hatukosei kwenye jamii wakati maovu yote...
Mwanaume tafuta pesa kwa bidii, wape watoto elimu bora, wape mahitaji yao muhimu, jenga nyumba nzuri waishi vizuri, lakini ukizeeka usitegemee lolote kutoka kwa wanao.
Enjoy maisha ya uzee kwa...
Habari za wakati huu ndugu na marafiki katika jukwaa la MMU
Kuna hiki kitu huwa kinanipa wakati mgumu sana kila nikikaa na kutafakari. Binafsi mimi ni kijana middle of twenties na bado...
Ukiona umemtumia mpenzi wako/mchumba wako/mchepuko wako/mke wako au hata rafiki wa kike wakati mwingine SMS ya kawaida tu kwaajili ya kumsalimia lakini yeye akakujibu moja kati ya majibu...
Habari,
Kipindi nipo jobless hapa mjini, wanawake wengi walikuwa wananiringia hata salamu tu. Mtaani hapa nilikuwa Kila nikitongoza wanatema nje.
Lakini baada ya kuajiriwa nashangaa Kila mwanamke...
Wakuu za usiku .
Leo baada ya kutoka kwenye mihangaiko yangu nikaamua kupanda daladala za kwenda Makumbusho.
Sasa siti zilikuwa zimeisha nikaamua kusimama tu, cha kushangaza aliyekuwa amekaa...
Wakuuu habarini za mchana poleni na miangaiko ya apa na pale katika kutafuta riziki zenu,
Mimi sio mzoefu Sana katika mahusiano nilianza mapenzi mwaka 2017 Toka mwaka huo Hadi hivi sasa nishakuwa...
So kiss me and smile for me
Tell me that you'll wait for me
Hold me like you'll never let me go
'Cause I'm leavin' on a jet plane
Don't know when I'll be back again
Oh babe, I hate to go...
Anasema ikitokea tumeoana hatutoboi miaka 5…. Namnukuu “ Mkitoboa miaka 5 niko pale uniite mbwa”
Ni kaka yangu mtoto wa mama yangu mdogo alielelewa nyumbani kwetu… yeye tayari ana familia yake...
Basi boss ashampoo huwa napenda kuandika kama diary mambo ambayo siwezi kumsimulia mtu raha ya jamii forum ni unakuwa unknow mara nyingi naandika nikiwa usiku nikiwa natafakari kwa hisia...
Vijana wengi wanafikiri kumposition mwanamke kama ilivyo kweny filamu za ngono ndio ujuzi wa mapenzi.
Zipo normal style lkn nyingi ni kuwezesha kupata angle ya kuchukulia sehemu nyeti wakt wa...
Nilikuwa nataka nikajitambulishe kwa wazazi wa huyu binti sasa katika kumhoji napaswa kupeleka zawadi gani? Nikaona ananiorodheshea zawadi za mama yake tu.
Nikamuulize zawadi za baba je? Akajibu...
Ndugu zangu katika JF tujadili jinsi ya kuanzisha hili vuguvugu ambalo litasababisha mabadiliko ya sheria. Kila mtu aondoke na alichochuma. Hii itasaidia sana kuimarisha ndoa
HABARINI FJ PEOPLE
Nimependa leo niseme kitu kidogo juu ya tatizo la HIV/AIDs. Hamna asiyejua kwamba HIV ni janga kubwa hasa katita nchi zinazoendelea. Am sorry najua humu kuna baadhi wapo na...
Wanaume wengi sana, tuna dhana kwamba mke ni adui, na mara nyingi tunatumia vitabu vya dini eti vinasema tukae na wanawake kwa akili, kweli? Huyu Mungu ambaye ndiye aliowaumba anaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.