Nimekutana na mama kwenye daladala anatumia JamiiForums

Status
Not open for further replies.

Django doer

JF-Expert Member
Jun 30, 2023
723
2,003
Wakuu za usiku .

Leo baada ya kutoka kwenye mihangaiko yangu nikaamua kupanda daladala za kwenda Makumbusho.

Sasa siti zilikuwa zimeisha nikaamua kusimama tu, cha kushangaza aliyekuwa amekaa kwenye siti alikuwa anatazama JF😅 nilishtuka na kufurahi pamoja na kushangaa sana 🤣.

Maana kwangu mimi JF ni kama sehemu zangu za siri, hakuna rafiki au ndugu anayenijua kuwa niko humu.

Hata nikitumiaga JF naitumiaga gizani au sehemu isiyokuwa na watu.

Sasa we mama uliyekuwa unakunywa juisi ya miwa na biskuti nakushauri tu ujifunze kujisitiri ndio maana tunatumia fake IDs humu.

Si vyema ukatumia huu mtandao mbele za watu maana huwezi jua nyampara ni nani 💂💂💂🧑‍✈️.

Yangu ni hayo tu wakuu.
 
Let's every one be free. Hamna wakumpangia.

Bando lake yeye kisha umpangie....? Atumieje

Kuna watu wala hawana sababu za kujificha ficha...

Kijiwen kwetu wengi wanatumia jf...wala hamna MTU wakufatiliana IDs.... Sometimes tunaoneshana Jambo tunacheka pamoja.


Mind your 'bizenes'
 
Wakuu za usiku .

Leo baada ya kutoka kwenye mihangaiko yangu nikaamua kupanda daladala za kwenda makumbusho .

Sasa Siti zilikuwa zimeisha nikaamua kusimama TU Cha kushangaza aliyekuwa amekaa kwenye siti alikuwa anatazama jf 😅 nilishtuka na kufurahi pamoja na kushangaa sana 🤣 .

Maana kwangu mimi JF ni kama sehemu zangu za Siri hakuna rafiki au ndugu anayenijua kuwa Niko humu .

Hata nikitumiaga JF naitumiaga gizani au sehemu isiyokuwa na watu .

Sasa we mmama uliyekuwa unakunywa juisi ya miwa na biskuti nakushauri TU ujifunze kujisitiri ndio maana tunatumia fake IDs humu .

Si vyema ukatumia huu mtandao mbele za watu maana huwezi just nyampara ni nani 💂💂💂🧑‍✈️.

Yangu ni hayo TU wakuu.
Ni mimi siwezi kuficha Jf kama utumbo🤨😁
 
5C9F51A6-E84D-4728-8FDB-6FDFA8A48865.jpeg

heei jameni ni mweusi tii...?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom