Kwangu naona sasa mapenzi basi

Jan 6, 2022
26
140
Wakuuu habarini za mchana poleni na miangaiko ya apa na pale katika kutafuta riziki zenu,

Mimi sio mzoefu Sana katika mahusiano nilianza mapenzi mwaka 2017 Toka mwaka huo Hadi hivi sasa nishakuwa na mahusiano na wanawake zaidi ya 20 sasa.

Mwanamke ambae nimedate nae kwa mda mrefu ni mmoja tu ambae tulifika miezi sita tukaja kuachana ila kwa hao wengine haifiki wiki 2 tumezinguana.

Kiuhalisia Mimi ni mtu ambae na care Sana yaani mwanamke nikiwa nae kwenye mahusiano nampenda na kumjali Sana zaidi ya mzazi wake.

Maex wengi nilioachana nao wamenisifia Sana kuhusu kuwajali ila Sasa kipengele kipo apa.

#Nina hasira za karibu na maamuzi ya ajabu kufanya yaani mwanamke akinizungua tu kidogo nishachukua maamuzi hata kama nampenda Sana akinizungua tu kidogo namuacha apa apo na sirudi nyuma hii tabia naona inanicost Sana katika mahusiano.

Kwa mfano
Jana demu wangu kaja ghetto freshi nishamla kama mara nne Sasa Jana nataka nimle ananiambia hayuko sawa tumbo linamuuma.

Ebwana nikamaindi Sana nikaongea shiti nyingi na tukawa tumegombana.

Sasa usiku wa Jana nikasema kabisa demu nimuachie kweli nikafuta namba piga block nikawa nimeachana nae hivyo.

Leo nimepigiwa simu na namba ngeni kupokea naambiwa kuwa Mimi dadaake flani anaumwa yupo hospitali
Ni dada wa demu wangu.

Kufupisha duuh nimejiona mjinga demu kweli anaumwa tumbo na Mimi nilijua Jana ananizingua tu.
Wadau hivi nifanyaje hii tabia yangu ya hasira za haraka naona inanivunjia mahusiano mengi.
 
#
Nina hasira za karibu na maamuzi ya ajabu kufanya yaani mwanamke akinizungua tu kidogo nishachukua maamuzi hata kama nampenda Sana akinizungua tu kidogo namuacha apa apo na sirudi nyuma hii tabia naona inanicost Sana katika mahusiano.

Kwa mfano.
Jana demu wangu kaja ghetto freshi nishamla kama mara nne Sasa Jana nataka nimle ananiambia hayuko sawa tumbo linamuuma.

Ebwana nikamaindi Sana nikaongea shiti nyingi na tukawa tumegombana.
Sasa usiku wa Jana nikasema kabisa demu nimuachie kweli nikafuta namba piga block nikawa nimeachana nae hivyo.

Leo nimepigiwa simu na namba ngeni kupokea naambiwa kuwa Mimi dadaake flani anaumwa yupo hospitali
Ni dada wa demu wangu.

Kufupisha duuh nimejiona mjinga demu kweli anaumwa tumbo na Mimi nilijua Jana ananizingua tu.
Wadau hivi nifanyaje hii tabia yangu ya hasira za haraka naona inanivunjia mahusiano mengi.
acha utoto, utafika mbali take things easy. Sio Kila kitu unajikuta wewe mwamba
 
ananizingua tu.
Wadau hivi nifanyaje hii tabia yangu ya hasira za haraka naona inanivunjia mahusiano mengi.
emoji24.png
Wadau mnaitwa huku, huyu ni sawa na mtoto Wangu, Acha nikae kimya
 
Wakuuu habarini za mchana poleni na miangaiko ya apa na pale katika kutafuta riziki zenu,

Mimi sio mzoefu Sana katika mahusiano nilianza mapenzi mwaka 2017 Toka mwaka huo Hadi hivi sasa nishakuwa na mahusiano na wanawake zaidi ya 20 sasa.

Mwanamke ambae nimedate nae kwa mda mrefu ni mmoja tu ambae tulifika miezi sita tukaja kuachana ila kwa hao wengine haifiki wiki 2 tumezinguana.

Kiuhalisia Mimi ni mtu ambae na care Sana yaani mwanamke nikiwa nae kwenye mahusiano nampenda na kumjali Sana zaidi ya mzazi wake.

Maex wengi nilioachana nao wamenisifia Sana kuhusu kuwajali ila Sasa kipengele kipo apa.

#Nina hasira za karibu na maamuzi ya ajabu kufanya yaani mwanamke akinizungua tu kidogo nishachukua maamuzi hata kama nampenda Sana akinizungua tu kidogo namuacha apa apo na sirudi nyuma hii tabia naona inanicost Sana katika mahusiano.

Kwa mfano
Jana demu wangu kaja ghetto freshi nishamla kama mara nne Sasa Jana nataka nimle ananiambia hayuko sawa tumbo linamuuma.

Ebwana nikamaindi Sana nikaongea shiti nyingi na tukawa tumegombana.

Sasa usiku wa Jana nikasema kabisa demu nimuachie kweli nikafuta namba piga block nikawa nimeachana nae hivyo.

Leo nimepigiwa simu na namba ngeni kupokea naambiwa kuwa Mimi dadaake flani anaumwa yupo hospitali
Ni dada wa demu wangu.

Kufupisha duuh nimejiona mjinga demu kweli anaumwa tumbo na Mimi nilijua Jana ananizingua tu.
Wadau hivi nifanyaje hii tabia yangu ya hasira za haraka naona inanivunjia mahusiano mengi.
Kwako ndiyo wapi huko nasi tupajue...

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom