Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wana JF,Poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝. Nimekuwa nikijiuliza kama ni kweli mwanamke anaweza kusahau kabisa "EX" wake, hasa anapopata nafasi ya kukutana naye tena. Nimegundua kwamba...
32 Reactions
460 Replies
27K Views
Wakuu kwema? Aisee mwaka jana january 26 2022 nilikua nimeenda kariakoo na demu wangu mmoja mtoto wa kishua kufanya shopping maana nilikua nimehamia geto miezi miwili nyuma so sikua na mapazia ...
14 Reactions
87 Replies
7K Views
Today is your great day beth .. Let it be the very special day. [emoji173] Sent from my LM-V500N using JamiiForums mobile app
3 Reactions
7 Replies
623 Views
Habari wana ndugu mimi ni kijana wa miaka 32 naishi dar es salaam ,mkristo na nimejiajiri natafuta mpenzi alietayari kuwa mke, vigezo asiwe na mtoto zaidi ya mmoja awe tayari kwa ndoa mwakani.
4 Reactions
27 Replies
2K Views
  • Closed
Mara nyingine unaweza sema mtu anamtania mwenzake lakini clearly unakuta jamaa liko serious kabisa linadondokea kwa id inayoonesha ni ya KE. Sasa sijui ni mchezo wa kubahatisha kama anaweza...
11 Reactions
88 Replies
4K Views
Nina miaka kadhaa kwenye mahusiano na ndoa, nina watoto pia. Lakini sijawahi kulala kitanda kimoja sijui shuka moja na mke. Bahati mbaya ukimhadithia mtu kwamba haulali kitanda kitanda kimoja mke...
30 Reactions
196 Replies
14K Views
Mwenzenu ninapendwa japo sipatiwi tendo la ndoa. Naimani asilimia mia kuwa ninapendwa. Maana huyu mwanamke huufurahia sana uwepo wangu, huvutiwa na ucheshi wangu, hunitamka mara kwa mara mdomoni...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimekuwa kwenye mahusiano na dada mmoja, kwa zaidi ya mwaka sasa, amekuwa na tatizo la kupata ujauzito kwenye ndoa yake kwa zaidi ya miaka mnne ya ndoa, na amekuwa akiniomba nimsaidie kupata...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Habari wakuu, Husika na kichwa tajwa, Sogea tukae ni aina ya ndoa za mchongo ambazo wanawake wamezitaka. Wamezitaka wanawake kwakuwa wamejisogeza kwa wanaume bila kusubiri wakati wa wao kufunga...
17 Reactions
58 Replies
4K Views
Natumaini mko poa. Katika maisha ya sasa kumezuka mtindo wa wanawake kujifanya wajuaji sana pindi unapo mtokea kwa nia njema ya kutaka kumuoa bila wao kujua hiyo ni ishara mbaya inayo wapelekea...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Watu wengi Mnashindwa kuelewaga mambo madogo na mnakuwa Vipofu katika mapenzi kwa kutoona vitu vidogo vidogo. Leo acha niwaambie ishara mbaya kwa mpenzi. Mwamba/Dada unapokuwa katika harakati...
15 Reactions
112 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu, Hii ni mada maalumu kwa wanaume wote ambao toka kitambo wanatatizo la kutosimamisha jogoo yani tofauti na kupanda mtungi yani hawiki kabisa. Kwanza naanza kwa pole kwa...
2 Reactions
32 Replies
51K Views
Takwimu zinaonesha Wakala wa usajili, ufilisi na udhamini (RITA), kwa mwaka unapokea maombi ya talaka yasiyopungua 500+ Tanzania nzima. Kilichonishangaza ni kwamba asilimia 78% ya Ndoa...
45 Reactions
125 Replies
9K Views
Habari za ndugu zangu HAKIKA NAWAAMBIENI TUSIPO WASIMAMIA NA KUWAKATAZA WANAWAKE IPO SIKU WATATEMBEA UCHI WA MNYAMA HADHARANI Ukiwaangalia na kuchunguza sana wanawake zenu wanaovaa hivi na kama...
11 Reactions
37 Replies
3K Views
Bado najiuliza, Je, NDOA ni TAMU au CHUNGU ?!! Ni swali ambalo walio nje ya ndoa wanajiuliza kila siku, lakini hata walio ndani ya ndoa nao bado hawana majibu yaliyokamilika. •Kuna watu...
4 Reactions
16 Replies
925 Views
Habari wanajamvi, Kuna huu msemo umezidi kushamiri katika maeneo mengi tofauti! Ni kuhusiana na kushushwa thamani ya kuwepo katika ndoa kwa wanawake aina ya thate plus! Thate plus ni mwanamke wa...
9 Reactions
142 Replies
14K Views
Kipindi unamfukuzia alisumbua sana mpaka ukata taama kumuoa ikabidi uchukue mwengine. Muda wakati age ina bamba alikuwa anataka vigezo na masharti ni yupi mwanaume gani ampendaye. Hivi vitu...
49 Reactions
455 Replies
36K Views
Nilibahatika kumsindikiza dada mmoja kwake na mizigo yake akiwa amerudi safari. Sasa ile namsaidia kuiingiza vitu ndani, sebuleni nilichokiona ni hatari! Kweli sisi wanaume ni wachafu ila yule...
20 Reactions
112 Replies
10K Views
Hope you are doing good! Kama mambo sio mambo komaa ndio tayari hivo upo duniani na hakuna dawa kwa hilo. Kila mwanamke kazaliwa akiwa na PhD ya manipulation, hii ni sehem ya DNA yao wameumbwa...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…