Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimevuka mitihani ya stress za mapenzi, sasa moyo wangu ni wa jiwe wenye kuwafaa wanawake wote, hivyo basi mwanamke yeyote sina muda wa kufuatilia nyendo zake wala kukagua simu wala maswali...
2 Reactions
11 Replies
886 Views
Ndugu zangu, na waaga kwa muda, sijui nitarudi lini Jf kuungana na nyie tena. Ila maombi yenu nipone haraka kutokana na ajali ya barabarani niliyopata ni muhimu sana. Pia wanawake si kwamba...
2 Reactions
19 Replies
905 Views
Habari za asubuhi wana JF Bila kupoteza muda, moja kwa moja kwenye mada. Hivi kwanini watu waliooa wanahangaika na watu wasiooa? Mwanaume asiyeowa anaonekana kuna jambo analiepuka bila sababu...
9 Reactions
45 Replies
3K Views
Nlipoanza mahusiano naye sikujali kama ana mtoto nikasema nitampenda hivyo hivyo ila tu anielewe na misimamo yangu. Maana mapema nlimwambia kuwa ni changamoto sana kudate yeye ikiwa hatojielewa...
74 Reactions
227 Replies
13K Views
Hii ni kwa ma men. Wengi wenu hamna wapenzi, mko single sema tu mna mabinti ambao wanawauzia bidhaa zao ingawa mnawaita wapenzi. Hata kama jana mlikutana mkazurura (kula bata) ukagharamia kila...
2 Reactions
15 Replies
962 Views
Wakuu poleni na msiba wa lowasa na hongereni kwa maandamano ya chadema mwanza. Kuna mdada anafanya kaz ya saidia mapish yan kwa mama ntilie kaz yake n kupeleka oda kwa wateja, wapo jiran na ofsn...
1 Reactions
17 Replies
886 Views
Ushauri wenu ni muhimu sana. Umri wangu ni miaka 50, nimeoa mke kanisani huu ni mwaka wa 25 naishi naye na tumejaliwa watoto wanne, wa kwanza na wapili wamemaliza tayari chuo kikuu na wa tatu...
43 Reactions
2K Replies
341K Views
Ora mko poa???? Kwanza kabisa namshukuru mnyaazi MUNGU kwa kuniokoa kutoka kwenye ule ugonjwa wa akil. Unajua mpiga nyeto hata umletee demu wa aina gani hawezi kuridhika ila we mpe tu picha ya...
4 Reactions
54 Replies
2K Views
.
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Inatokea kuna umepata mwenzako penzi ni moto ila ghafla mkapotezana bila mawasiliano hata kwa miaka kumi Ghafla mnakutana upya hasa ukiwa kwenye ndoa ama mwenzako akiwa kwenye ndoa Je uliwahi...
0 Reactions
7 Replies
718 Views
Unakuta umekubaliana na mdada unalipa lodge unamlipa yeye then kinachofuata style ni kifo cha mende hivi wakuu hili tatizo linatukuta sisi tu wa mikoan yenye baridi au nchi nzima,?? Mudada...
8 Reactions
50 Replies
3K Views
Haya maisha kuna muda yana maswali magumu kama sio kigugumizi miezi kama sita sasa nimedate na manzi raia wa canada ila ana asili ya kenya ndoa yake imefeli 2021 na baada ya talaka kutoka akaamua...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Wana bodi salaam, Kama title inavyojieleza hapo juu,nahitaji Mama over35 yrs kimahusiono,nimechoka kudate na viunder 20,Mimi kijana over25yrs najiweza kidogo kiuchumi,Alie serious pm me
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Huyu jamaa kwakweli naona hana haiba ya kiume! Asubuhi yote hii kwenye gari amepiga simu kwa mwanaume mwenzie analia kuwa kwanini anachati na mke wake usiku. Yaani watu wamebaki wanamcheka na...
13 Reactions
41 Replies
4K Views
Kwa utafiti niliofanya, kati ya wanawake 10, lazima 8 wawe wamevaa shanga kiunoni. Sasa hivi umekuwa ni mtindo wa kisasa, kwa mwanamke wa kileo kuvaa hizo shanga au cheni kiunoni. Imekuwa ni...
8 Reactions
127 Replies
8K Views
Jamani kuna mijitu hapa Tanzania wanawake na wanaume ni mashetani hatari, kuna wasichana na wakaka , wadada , wamama, wababe kabla hawajalala husikilizia milango kupata picha maghetto yetu Yana...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Dah, inasikitisha sana ndugu zanguni. Mke aambulia kipigo kitakatifu kilichosheheni ngumi, banzi jiwe kama alilokumbana nalo yule mwombolezaji wa Mh. Lowasa pale Ngarenaro, mikanda ya rasha rasha...
3 Reactions
7 Replies
837 Views
Wakuu kwema? Baada ya salam niende kwenye mada. Ipo hivii kuna single mother nimezaa nae, m nilimkuta ana watoto wawili namimi nikabandika mmoja wakawa watatu. Kipindi cha mahusiano yetu ugomvi...
32 Reactions
363 Replies
14K Views
Ipo hivi, niliingia mgogoro mkubwa na mke wangu chanzo ni kuwa; kuna siku nilikuwa nimekaa sitting room simu yangu ipo mezani mara sms ikaingia wife akawa ameona akaenda kuchukua simu ili asome...
40 Reactions
204 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…