Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Sijawahi hata siku moja kuliwa nauli. Dada mmoja alijaribu kula tsh 8,000 yangu. Nikasema moyoni ataitapika. Wala sikumlaumu. Ukiliwa nauli na demu usimtukane. Kuwa mpole kuwa kama fala...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakuu nilikua sijui hilo jambo. Shemej yenu katika stor za hapa na pale ananiuliza why nmetairiwa. Nkashangaa..why ananiuliza hvyo..akanambia kwao wanaume hawatairiiwi Nimeshangaa sana...
2 Reactions
41 Replies
3K Views
Kuna mwanangu mmoja leo kanionesha demu anaemla, kampata tinder aisee Nikamwambia mani huyu ni trans inamana hujagundua. Mwana anasema nilipomwambia hivyo ndio akili imemjia sasa anamuona huyo...
7 Reactions
60 Replies
7K Views
Ndugu zangu wana Jf na wasio wana Jf na wasalimu sana katika jina la Mwenyezi Mungu aliyeziumba mbingu na nchi na vyote viijazavyo dunia ikiwemo hawa watoto wazuri wa kike mauwa ya mioyo yetu...
8 Reactions
23 Replies
2K Views
Wadada na wamama & baadhi ya wanaume wa kibongo acheni kujichubua mnakuwa mnatisha sana na hamvutii, unakuta mtu kajichubua Hadi mishipa ya kijani inajitokeza mwilini. Najua Kila mtu ana uhuru wa...
23 Reactions
261 Replies
14K Views
Ndugu zangu salaam sana. Kwa mlioniombea na kunipa pole na shukuru sana hata kwa wale mliosema niendelee kuumwa nimewasamehe bure naendelea vizuri . Asanteni Ukweli ni kwamba huyo mwanamke...
10 Reactions
65 Replies
3K Views
Natafuta rafiki wakike awe mstaharabu na mpole pia sichagui dini wala Umri kwa upande wangu Umri wangu ni miaka 27 kama uko tayari nifuate pm tuongee zaidi
0 Reactions
2 Replies
732 Views
Wakuu kwema? Nimevurugwa saana Sasa sielewi nafanyeje hapa.. Nina mahusiano na wanawake wawili wote Wanakaa mkoani Arusha, sasa mmoja nina muda nae kama Mwaka Sasa huyu mwingine ni mpya mpya. Ni...
11 Reactions
175 Replies
9K Views
Niko mbioni kumrejesha mtt wa mtu kwao maji yashanifika shingoni ila nasisitiza kuchanika kwa jamvi sio mwisho wa maongezi nakata mti napanda mti mungu akipenda. Kukataa ndoa hpana japo ndoa ngumu
7 Reactions
53 Replies
3K Views
Hongereni sana wanawake. Ukweli mchungu kwa wanaume wote kwamba, Hawa viumbe wa kike hili game la TRADING are better off than men. NDOA NI MKATABA WA KISHERIA Marriage is a legally binding...
5 Reactions
47 Replies
3K Views
Waslaam wakuu! Kwa kawaida penzi likiwa jipya huwaga linanoga Sana Yaani full kubebishana tu. Hapo hamkauki kupigiana Simu mixer kutumiana message za mahaba. Basi mwanaume ukitaka kujua kama...
53 Reactions
496 Replies
20K Views
Habarini Nimefanya takwimu isio rasmi, nimegundua wanaume ndio tunaongoza kwa kula migahawani kila siku, asubuhi mchana na jioni, wadada wanaokula migahawani ni wachache, tena wanakula mara moja...
1 Reactions
2 Replies
534 Views
Wanaume wenye tabia/ aina hii hupata shida kwenye mapenzi. Wanaishia kuona wanawake ni wagumu/ hawaeleweki. Wanatumia muda mwingi kutaka kumridhisha mwanamke. Au atatumia mali kuficha udhaifu...
4 Reactions
11 Replies
6K Views
Ukipitia accounts zao kwenye mitandao ya kijamii ni mwendo wa 'Asante Jehova' hawaposti nyimbo za kidunia wao ni gospal kwa kwenda mbele. Kujisnap wanaimba vijimbo vya kusifu na kuabudu. Jumapili...
28 Reactions
73 Replies
4K Views
Wakuu kwema Siku kadhaa nyuma nikileta Uzi wangu hapa nawezaje kuchomoka mtego Wa mademu zangu wawili.. Demu alikuja Wa Chuo nikaanza kumwambia mbona hujaja bila taarifa nikaanza kumfokea na...
2 Reactions
12 Replies
847 Views
Wakuu huyu binti hadi anaingia nae kwenye nilitumia nguvu nyingi sana, wakati huo yeye alikuwa dip mwaka wa tatu (clinical medicine) mimi nilikuwa naanza first year degree ualimu. In short...
33 Reactions
191 Replies
26K Views
Mimi kama kawaida, niko upande wa wanaume na katu siachi kuwasanua wanaume wenzangu juu ya utapeli wa kingono. Hakuna maajabu. Nimefanya tendo la ndoa na wanawake wengi nimegundua kuwa hakuna...
21 Reactions
91 Replies
6K Views
Hii sio meme, huu ni ukweli ulio wazi Siku hizi maisha ni kusaidiana na katika kusaidiana huko ndio maana baba anafanya kazi na mama pia anafanya kazi. Ofisini kuna mambo mengi yanaendelea...
19 Reactions
92 Replies
6K Views
Kuna dada bhana nampenda sanaa! Tena nampenda kweliii. Wakati tunaanza kuwa pamoja nilimwambia kuwa mimi nina hasira sanaa lakini sio za kufanya Violence kwa mwanamke, akaahidi atanielewa. Mara...
2 Reactions
59 Replies
2K Views
Kuna mchepuko wangu wa zamani (shepu matata) alinipigia simu mwezi uliopita, na kunijulisha nimpokee rafiki yake anakuja mkoa niliopo kwa ajili ya kushughulikia mambo yake. Ingawa alinisii...
2 Reactions
36 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…