Usipokuwa makini huku ughaibuni, unaweza kula Trans na usijue

ndonger

JF-Expert Member
Jan 21, 2018
875
1,542
Kuna mwanangu mmoja leo kanionesha demu anaemla, kampata tinder aisee

Nikamwambia mani huyu ni trans inamana hujagundua.

Mwana anasema nilipomwambia hivyo ndio akili imemjia sasa anamuona huyo demu ni trans...hahaha..

Kwel dunia ina laana hii inabidi kuwa makini sana.
 
_20240206_050542.JPG
 
Kuna mwanangu mmoja leo kanionyesha demu anaemla..kampata tinder..aisee

Nkamwambia..mani huyu ni trans inamana hujagundua..

Mwana anasema nilipomwambia hvyo ndio akili imemjia sasa anamuona huyo demu ni trans...hahaha..

Kwel dunia ina laana hii..inabid kuwa makin sana na hawa mashetan.
Ila ujue kuna watu pia wanaokula poku iliyochunwa ngozi? Wengine wanajua ila wanajifanya hawajui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mwanangu mmoja leo kanionyesha demu anaemla..kampata tinder..aisee

Nkamwambia..mani huyu ni trans inamana hujagundua..

Mwana anasema nilipomwambia hvyo ndio akili imemjia sasa anamuona huyo demu ni trans...hahaha..

Kwel dunia ina laana hii..inabid kuwa makin sana na hawa mashetan.
aaa wapi ukicheki mabega tu na kifua unajua , sisemi kwamba jamaa yako alijua ilaa inawezekana alifunika kombe narudia tena sisemi kwamba alijua.
 
Tusaidie mabega yapoje? Kifua kipoje? Asante
Kikawaida wanawake huwa wana shoulder spin ndogo ( umbali kati ya shingo na bega huwa mfupi) hii ni kutokana na maumbile yao ya kike kuwa madogo kuzidi ya kiume kingine wanawake wana misuli mingi eneo la kiunoni kushuka chini tofauti na sisi wanaume misuli mingi ipo eneo la juu la mwili na mabega mapana .

Kwenye kifua ni kwamba kifua cha mwanamke kimebinuka kuja mbele na mabega yake yamerudi nyuma kitu kinachopelekea kiuno kubinuka hii ni tofauti na wanaume , na ndiyo maana ukiona mwanaume anatembea kwa kubinuka basi utahisi tu kuna utofauti .

Sasa kama mwanaume ikatokea akabadili jinsia (gender re-assignment surgery) watakacho kibadili ni uume kuwa uke na watampatia vidonge vya hormone za kike lakini mabega na umbile lake litabaki vile vile na nfiyo maana ulitaka kumtambua aliyebadili jinsia kama kwa sura inakushinda angalia umbile lake hasa mabega ,kifua na kiunoni .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom