habari za jioni ndugu zangu,
Katika hekaheka zangu za kutafuta mke wa kuoa nimejikuta nimeangukia kwa mtoto wa kimanyema. sasa nina hitaji kujua utaratibu kuhusu kishika uchumba na mahali najua...
Kama sio Mke wako, whatever she think about you ni Pesa zako tu.
Atakutafutia sababu tu akupate.
Ukisikia anakwambia Baby nina hamu na wewe tutaonana lini? Basi My friend amemisi kukukwapua pesa...
Sijawahi kununua mwanamke anayejiuza. Ila huyu mke wangu ni anajiuza kwangu. Kivipi?
Manjonjo na ushirikiano kitandani anautoa kwangu tarehe za mshahara tu. Yaani kuanzia tarehee 21 hadi 23 kila...
Miaka ya zamani watu waliokuwa wakiamini mambo ya shirki na ulozi walikuwa ni watu wazima haswa, hawa ndiyo walikuwa wateja wakubwa kwenye vilinge vya waganga.
Kiukweli mambo yamebadilika sana...
Watu usema kujiamini ndo siri ya mafanikio ukijiamini unaweza kupata kile ambacho hukutarajia kukipata kwasababu ya ujasiri wako.
Mwenzenu mimi sio tajiri sio maarufu wala sina chochote kile cha...
Haya wakataa ndoa mmefikiwa🤡
Kumbe kampeni yenu ni kubwa ina watu wazito duniani.
1. Vladimir Putin
Huyu bwana nafikiri watu wengi wanamfahamu hapa duniani.
Kwa wasio mfahamu huyu ni Rais wa...
Kwa wasio wenyeji wa kanda ya ziwa.
Nimeona malalamiko mengi sana kina mama na kina dada wasio wenyeji wa mkoa wa Mara (na kanda ya ziwa ) wakilalamika sana kuhusu swala la kusahau kwao...
Sisi tunaoishi maisha halisi huwa hatupendi kuwa karibu na jamii ya watu wanafiki, chawa, waongo waongo, wanao-'pretend', au wanao 'fake' maisha; kwa sababu tunajua hayo si maisha yao halisi na...
Ingependeza uzi huu uchangiwe zaidi na wanaume wenzangu maana naimani Hawa wanajua stuation ninayo pitia,
Wanaume wenzangu ipo hivi, mm mwenzenu ni kijana above 27 yrs, Nina mke na mtoto mmoja...
Katika maisha Kuna wale akina sisi ambao Kila tutokapo mihangaikoni tunapitia mahali kuchamba koo kidogo alafu ndo turud magetoni, katika moja na mbili Kuna mahali nimekuwa napendelea kwenda hapo...
Mke wangu amepata kazi mshahara wake ni mkubwa zaidi yangu na mkataba wake unasema atakuwa anatembelea gari ya kampuni wakati mimi sina hata gari. Nataka kumkataza asikubali hiyo kazi, je niko sahihi?
"Usimpoteze mwanamke mwema kwasababu alijamiiana na mwanaume mwingine kwa bahati mbaya"
Hapo kwenye uwanja wa comment tujitahidi ziwe fupi fupi, pole pole tusikanyagane.
#Repost #EARadio
Habari wanajf,
Kipindi tupo O level tulikuwa tunakatazwa kuingia kwenye mahusiano huku tukiambiwa tutayakuta chuo.
Tukaenda advance tukaendelea kutiwa moyo zaidi huku tukisisitiziwa kwamba chuo...
Hapo vip!!
Kuja jambo moja huwa linanishangaza,eti unalikuta lijamaa jeusi,alafu anawatoto weupe.. na yeye anajisifia eti nimetoa rangi ya mtume..hiyo rangi umeitoa kutoka wap?
Hivi mzungu...
Nimekuwa nikisafiri mara kwa mara mikoani kikazi kwani nature ya kazi inahitaji kusafiri ili kutekeleza majukumu.
Nipo kwenye ndoa kwa muda mwa miaka 5 hadi sasa na tumejaliwa kupata mtoto mmoja...
Anaandika Robert Heriel
Chunguzi zangu zinaonyesha kuwa kuna uhusiano wa karibu wa Maumivu ya Mwanamke na upendo wake. Wanasema chungu tamu.
Chunguzi zangu zinaonyesha kuwa kadiri Mwanamke...