Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Huyu ni mchezaji wa zamani wa Cameron , Chelsea na Madrid
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari za muda huu wakubwa!!. Hivi siku ikitokea umelala na mke wako asubuhi, halafu ukasikia mlango umegongwa mkeo akaenda kuangalia ni nani alafu anarudi kwa upole na mahaba anakuambia baby...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Smile, smile and brighten my day. Is it too soon for me to feel the urge to have you close to me? Dream about your kiss Wish we had a past to remisce? Is it too soon for me to wish that we...
22 Reactions
245 Replies
18K Views
Rafiki nilienae mimi ameakua akinishauri vitu ambavyo vina matokeo mazuri katika maisha yangu: that why he's my best friend. Share your experience about your best friend na nikitu gani...
1 Reactions
4 Replies
390 Views
Wakuu kwema ? Nilikua na wazo la kuzaa kabla ya kuoa kutokana na presha ya ndugu na jamaa, ya kutaka mjukuu kama tunavyojua familia zetu. Lakini baada ya kuongea na baadhi ya watu wenye uzoefu...
10 Reactions
32 Replies
2K Views
Habari wanajukwaa! Mimi naamini mapenzi ya kweli hutakiwi kutumia nguvu nyingi kuyapata, ila pia naamini mapenzi ya kweli ni kupata wa kufanana nae ili usiwe unajieleza sana kwake. Kwa umri wangu...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Poleni na pilika pilika za hapa na pale , Sisi wanaume tunapitia mambo mengi ya kuumiza na kufurahisha sana. Huyu jamaa ni rafiki yangu tulikutana miaka mitatu iliyopita yeye ni mmafia ila...
9 Reactions
72 Replies
10K Views
Tukiwatafua hata kwa salamu tu si mnasingizia Ramadhani, bado siku chache tu 😀
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Jamaa anadai huyu Jenifer ( siyo jina halisi) alikuwa mke wake wa ndoa, walipofunga ndoa jamaa alifanya janja janja ili angalau na mke wake apate sehemu ya kupata kipato chake Akiwa ndo wana...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Kama unajiona huna uwezo wa malezi bora kwa kiumbe chako na hauna uwezo wa kukitengenezea kesho yake bora ni vyema kabisa usizae. Kufa mwenyewe na umasikini wako acha kuleta kiumbe uje ukipe...
4 Reactions
8 Replies
655 Views
Karibu bongo ambayo mwanaume akimsaidia mkewe kwenye haki basi utasikia ndugu na majirani wakisema amerogwa huyo siyo akili zake
2 Reactions
4 Replies
386 Views
Kabla ya kukubali kuoa ama kuolewa na mtu inapaswa muwe na maongezi marefu kuhusu engo zote za maisha 1. Jadilini kuhusu bilis za maisha atakuwa anazilipa nani na kama mtalipa wote ni kwa...
36 Reactions
103 Replies
6K Views
Tendo la ndoa ni kiunganishi cha kimwili,fikra(hisia), na hata nguvu za kiasili baina ya mwanamke na mwanaume. Kuna sababu kuu ya uwepo wa tendo hili ni kuzaliana kama ambavyo ipo hivyo kwa...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Dogo kamaliza chuo tu kapigiwa pande akapata kazi akapangiwa kituo mkoani. Kanipigia simu anasema anataka kuacha kazi, sababu maisha ya MKOANI hayawezi. Hivi mtu Kama uyo unamjibu nini ?
7 Reactions
32 Replies
2K Views
Mnasex wote, mnaambiana sex ikileta shida mpo wote ngoja upate mimba hadi mtu anahama hadi mtaa na unamblock mtu. Why mpo hivi?
15 Reactions
98 Replies
4K Views
Jina: John Kazi: religious Makazi: Dar na Zanzibar Umri: 34 Natafuta mwanamke wa kuingia naye kwenye mahusiano akiwa na maisha yake itapendeza zaidi. Sijachagui dini, kabila, Wala rangi cha...
1 Reactions
3 Replies
585 Views
Brothers niaje kaka zangu leo ngoja niwape ka challenge, ni maneno gani ukiambiwa na mwanamke unahisi ni uongo? Kwa mfano mi demu aisee akinambia eti "upo peke yako" yaani hapo ndo nazidi kupata...
12 Reactions
143 Replies
6K Views
Kandida inapunguza hamu ya tendo la ndoa Jamani wanawake au wanaume tuwemakini na haraka kwenda hospitali tunapohisi unadalili za UTI kwa sababu UTI ikiwa sugu usababisha fagasi kandida ambao...
14 Reactions
56 Replies
4K Views
Back
Top Bottom