Mapenzi au kudanganyana?

Richard mtao

JF-Expert Member
May 13, 2018
209
236
Habar wana JF,

Juzi kati nilipokuwa kijiweni kwetu, tulikuwa tunajadili mambo mbalimbali kuhusu maisha, mara ghafra rafiki yangu ponda mali akaja na mada za mahusiano/mapenzi.
Mada hiyo alipa jina la Mapenzi uchwara.

Anasema mwaka 2009 alikutana na mwanamke mmoja wakati akiwa chuo, anasema kulikuwa na dalili zote za kupendana lakini kutokana na hofu ambazo hua zinatukuta wanaume aliendelea kuvuta subiri huku akingojea muda muafaka ataopata ujasiri wa kumueleza huyo mwanamke kwamba ni kwa namna gani anamhitaji.

Wakati akiendelea kusubiri muujiza huo huyo mwanamke aliendelea kujiweka karibu sana kwa jamaa angu. Hali ambayo ilikuwa inamfanya awaze sana maana anaona kabisa anaenda kudharirika kwa uzembe wake.

Lakini jamaa anasema sikumoja alimuita huyo mwanamke nyumbani kwake majira ya saa 5 asubuh, mwanamke alipofika jamaa akamwambia amemuita ili wakae wote wapige story kwamba yupo bored, mwanamke nae kwakua alikuwa amemtamani hakusita alijua leo ndio siku yake....japo usoni kaficha hilo.

Basi alipofika walizungumza sana na baadae wakajikuta tu wameshiriki ngono, na baadae kutongozana sasa baada ya kuwa washafanya ngono.

Baadae wakawa wapenzi na wameishi katika mahusiano kwa takribani miaka 10 sasa. Sasa jamaa anasema baada ya kuish kipindi chote hiki aligundua huyo mwanamke hampendi anaish nae tu kwakua wameishi miaka mingi katika mahusiano.

Alipozungumza haya, watu wote kijiweni walitoa maoni yanayoelekeana kwamba, mwanamke anaekubali kirahis tu huwa ni tatizo kwa miaka ya badae na kwamba huwa ni hatari sana.

Sasa nimeona mada hii niiilete kwenu nanyie mchangie ili tujengane.
 
Kwann anakaa na mwanamke miaka yote hiyo baada ya kumuoa?Sasa hivi kuna vijana wa hovyo sana
 
Back
Top Bottom