Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 19,552
- 61,884
Ukiona mtu amebeba mimba unaweza Tu kuhisi imepatikana kirahisi rahisi,.
Kuna ambao wanapata kirahisi Tu chap tena wengine bila hata kutarajia imo,.
Ila kuna ambao kutafuta Mtoto IPO ndani ya mpango na mimba isipatikane..
Heading: Kutafuta Mtoto sio KAZI nyepesi ( ni typing error )