Wanawake ni kiboko aisee

Wanawake ni kiboko aisee

World product

Senior Member
Joined
Jun 4, 2024
Posts
105
Reaction score
264
Habari za asubuhi wazee,

Niende kwenye mada mojamoja jana usiku nimerudi home sielewi lile wala hili mfukoni sina kitu si nikaona ebu nichukue buku mbili kwenye mkoba wa wife, nikanunua maji na energy drink, ili nicheki mpira (kombe la dunia fresh).

Aisee kumbe nimefanya bonge la mistake, ile mbaya, asubuhi imefika tu ile naamashwa na wife kuulizia buku mbili yake na ugomvi juu, hawa viumbe na hela achana nao kabisa.
 
Pole kaka.
bb2e08fd4828ebba4e13140d251e097b.jpg
 
Habari za asubuhi wazee,

Niende kwenye mada mojamoja jana usiku nimerudi home sielewi lile wala hili mfukoni sina kitu si nikaona ebu nichukue buku mbili kwenye mkoba wa wife, nikanunua maji na energy drink, ili nicheki mpira (kombe la dunia fresh).

Aisee kumbe nimefanya bonge la mistake, ile mbaya, asubuhi imefika tu ile naamashwa na wife kuulizia buku mbili yake na ugomvi juu, hawa viumbe na hela achana nao kabisa.
Jitahidi um-control mkeo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom