Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,797
- 19,404
Kubali au ukatae, Dunia ni ya mwanaume,kila kilichomo ulimwengu kipo kwenye control ya mwanaume.
Kila anachofanya mwanamke ujue kimeanzishwa na mwanaume.
Kwanza niwasalimie,lakini pili nichukue nafasi hii kuwapongeza wale ambao tunafuatilia world cup, Hadi hii Leo timu ziko semi final.
Lakini nichukue fursa hii kuwapongeza waliofuatilia tamasha la wakongwe wa na waasisi wa bongoflava,hii imewapa heshima na thamini wakongwe ambao baadhi hata wakitoa wimbo leo,hawafatiliwi maana kizazi hiki cha Generation Z wasanii wengi hawawajui labda wawaone YouTube.
Lakini umesikia stori za watu hawa?
Ni viongozi wakubwa kwenye ngazi za kitaifa.ni waandamizi kubali au kataa,usilete itikadi za kisiasa wewe jua wizara ya michezo inaongozwa na hawa wajuba ambao wapo Kwa mujibu wa kisheria
Ila kuna kitu hakipo sawa na hakipaswi kuchukuliwa juu juu tu.
Wakati msanii Dully Sykes akitajataja wasanii wenzake akiwapata shout out mbalimbali,alijikuta akimtaja mh Waziri Paul Makonda,chaajabu umati wa watu ulizomea , badala ya kushangilia kama ilivyozoeleka.
Pia Naibu Waziri wa michezo na burudani ambao Kwa uwepo wao si tu kwakuwa wizara inahusika na masuala ya entrainment,bali Naibu Waziri ni msanii pia,si tu mkongwe ni ya marapa na mwanahiphop ambaye akiimba unajua mwanaume kakusudia nini.
Lakini cha ajabu naye kuna namna alizomewa,binafsi nilijikuta najisikia vibaya Kwa watu hawa wenye heshima,wenye,pesa, ambao wamevuka level ya umasikini Kwa asilimia nyingi,ni mtu ambaye ana uhakika wa bills zote,anatibiwa hospital yeyote expensive,anakula hotel yeyote expensive,aiiamua kujenga atajenga nyumba expensive,
Usafiri akimiliki utakuwa expensive,watoto wao watasoma shule expensive huku wakiwa na uhakika wa ajira kwanini mababa zao ni elites kwenye jamii.
But mtu huyu anakuja kuzomewa na mtu aliyelipa kiingilio elfu 10 huku akiwa Hana uhakika na Kesho yake.
Halafu ni afadhali uzomewe na watu wachache,ni kundi la watu ambao Mawazo yao hayajafanana isipokuwa wote wameamua kuzomea kwakuwa hawajaridhishwa na tamko fulani.hii ni mbaya
Tafsiri yake ni kwamba huheshimiwi.
Hakuna kitu kibaya kama kudharauliwa waziwazi,hata Sisi masikini ukienda kununua vocha ya 500 dukani Kwa mango halafu muuzaji akawa bize kuwahudumia watu ambao wamekukuta huwa tunajisikia vibaya.
Lakini yote haya hutokea kwasababu gani?
Jibu ni kwamba tabia na mienendo yako huweza kupandisha au kushusha Thamani ya mwanaume.
Nakumbuka miaka fulani nilikuwa mlevi kupindukia,yaani kuna bar niliwahi hupewa ofa ya kreti tatu kama asante,yaani mteja mwaminifu,nirudi kwenye mada.
Ilikuwa nikienda bar hii simalizi mwezi nitakuwa nishafukuzwa kwasababu ya fujo hivyo hakuna anayevumilia ujinga.
ILA KITU PEKEE NILICHOJIFUNZA HADI LEO NI HIKI
Ilikuwa nikifika bar ngeni Kwa mara ya Kwanza napewa heshima na Thamani kubwa Hadi raha,ila tabia zangu zilifanya nishuke Thamani mapema mno,kutolipa bili Kwa wakati, kulazimisha kuondoka na mademu Kwa nguvu,na ubabe mwingine usio na maana,so kwahiyo hii ilisababisha kutokukubalika sehemu nyingi.ujana uliniponza nililewa sifa nikiambiwa wewe ni handsome basi Huyo aliyenisifia naona ni halali yangu naweza fanya chochote bila ridhaa yake.
Kumbuka nilikuwa naendesha magari ya mwarabu mmoja hivyo nilijiona naishi life moja matata kila nayemuona si hadhi yangu.
Ila maisha yalinifunza na kujikuta nairejesha walau robo ya Thamani yangu.
Kitu pekee unapaswa kujua mwanaume ni kwamba kuirudisha heshima ni gharama haswa kama jamii ikaamua kukupuuza,hata utumie mbinu gani haitakuwa rahisi tena kuwa kama zamani labda uishi na watu wasiokujua tabia zako
JIAMINI,JITHAMINI utaishi vizuri kupuuzwa kunauma