za nini sasa?nipe namba zako
mgeni wenu huyo! anayabananga tu!š¤š¤š¤š¤š¤š¤š¤
Mgeni ana kasi kubwa kuliko kasi yenyewe.Aachwe ainjoi life!mgeni wenu huyo! anayabananga tu!
kwakweli tumpe nafasi, kashaonja utamu wa jf kumuelewesha itakuwa ngumu mno!Mgeni ana kasi kubwa kuliko kasi yenyewe.Aachwe ainjoi life!
hapa huwasiliani kijana mgeni?mawasiliano
Atakuwa āchupa mpya, mvinyo wa zamaniā!kwakweli tumpe nafasi, kashaonja utamu wa jf kumuelewesha itakuwa ngumu mno!
Toa namba upate bodaboda wako mjiniza nini sasa?
Anatuigizia sio?Atakuwa āchupa mpya, mvinyo wa zamaniā!
Sina shida za namna hii!Toa namba upate bodaboda wako mjini