Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

1. Ni vijana wadogo hawajafikisha 35 years old, infact majority wako 30 and under. 2.Financially insecured,ama washawahi kuwa na experience iliyowafanya wafeel vulnerable financially. 3.Wachoyo...
57 Reactions
675 Replies
27K Views
Ni aje makamanda, I hope mko poa. Mwenzenu nilijaribu maisha baada ya kiajira changu cha kwanza lakini ikabidi nirudi home kwanza nikajipange upya, hatimae nimepata kazi ya mshahara ambayo kwa...
9 Reactions
235 Replies
23K Views
Mnaoishi na wakwe zenu mtupe siri ya urembo Yani wewe na mkeo au mumeo mmeamua kwenda kufanya maisha kwenye uwanja mmoja na wazazi wenu wa upande wa mume au wa mke. Au mmeamua kuwaleta hapo...
8 Reactions
16 Replies
285 Views
Wanawake sio walezi na watengenezaji wa wanaume na Baba Bora katika family. Mama Boys ni tatizo jipya katika jamii, ni mijadala na maswali magumu yanatusumbua sisi wana saikolojia, kilipatia...
4 Reactions
12 Replies
358 Views
Kuna wazazi wengi wanalalamika watoto hawana akili,ukifuatilia kwa ukaribu utagundua kwamba wazazi wa mtoto wote ni sufuri kwa kila kitu wanachojua ni kubanduana tu. Huwa nawasisitiza wanafunzi...
17 Reactions
107 Replies
1K Views
Kipindi niko jobless walikuwa wananiona kama kinyesi, nikapata kijimtaji nikanunua junia zangu mbili za mkaa, hapo unaambiwa salamu zikawa zinakuja kama mvua Wiki iliyoisha Mama Mwenye Nyumba...
4 Reactions
33 Replies
452 Views
Vile vimigogoro, fulana na huzuni mnazopitia humo ndani ni biashara tosha. Ila usisahau kazi ya editor, ndoa isije ota mbawa.
3 Reactions
4 Replies
117 Views
Leo nimemkumbuka sana demu wangu wa SUA. Nikiwa mwaka wapili wao walikuwa first year, tulikutana CRDB bank kipindi natoka kutoa boom langu yeye akawa kwenye foleni, siku hiyohiyo tukakutana tena...
1 Reactions
25 Replies
549 Views
Kuchepuka sio kitu kibaya unaweza ukachepuka huku umeoa.mimi na mke natunapendana sana ila nje na chepuka vibaya sana.
1 Reactions
5 Replies
100 Views
Wakuu nikidinyama ile staili pendwa na ambayo imeruhusiwa kisheria,kiimani ambayo ni kifo cha mende basi hua nakuta shuka limelowa pale chini aliko lalia. Hivi kulowana kule kunaweza kua...
4 Reactions
18 Replies
543 Views
Leo nimeona nilete hapa hili jambo linaloniumiza kichwa na huenda linawakuta watu wengi kimya kimya. Kuna wakati unatamani kupenda na kupendwa, lakini unajikuta unakutana na ukuta sio kwa sababu...
1 Reactions
10 Replies
253 Views
Jamani kuna dada nadate nae, nilipanga kumuoa lakini naghairi. Huyu dada ananiganda kama Lissu na maafande. Nikitoka kazini nakaa nae sebuleni, ukimwambia hata kalale tangulia hataki. Anataka...
16 Reactions
33 Replies
782 Views
Kila nikijipa nguvu ya kumuapproach mwanamke naishiwa kabisa na maneno.sijui tatizo langu liko wap naomben msaada wenu wakuu.sijui kabisa kutongoza nina aibu mbel ya watoto wa kike.
3 Reactions
12 Replies
205 Views
nimekuwa najiuliza kwanini wanawake wengi hupenda kufunga macho wakati wa kugegendana sipati majibu. Labda ni kwamba wanaona aibu au utamu au sura zetu wanaume zinawatisha hasa wakati wa kupiga bao?
5 Reactions
209 Replies
64K Views
Nataman tuh nipate singo matha maana n wapambanaji sana na mimi nipo tayar kuoa singo maza
2 Reactions
11 Replies
192 Views
Kidume unaamua kuwa choko, unachagua kupelekewa moto, sasa watoto wazuri kama hawa, awale nani? Baadhi ya vidume mliochagua kuwa machoko mnafanya kizazi chetu cha kiume kichukuliwe poa sana...
25 Reactions
75 Replies
2K Views
Habari ya sikukuu wana jf wote bila shaka mko salama leo mmetulia majumbani hadi raha.. Niende straight kwenu wanawake wenzangu hivi nini huwa sababu ya kumzungusha mwanaume anapokutongoza...
17 Reactions
306 Replies
3K Views
Kuna ukweli kwamba mwanaume aliyelelewa na mama pekee AKIOA mwanamke aliyelelewa na mama pekee WAKIOANA basi ndoa yao ni matatizo matupu?
0 Reactions
4 Replies
96 Views
Habari wakuu , kwa wake wenzangu na Mimi wenye ulemavu wa aina yoyote iwe hearing problem , bubu ,albino nk Basi karibuni mtafute wenza hapa maana huwa tunajiona wanyonge au kujikatia tamaa hasa...
7 Reactions
22 Replies
420 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…