Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hili limekuwa likinikishangaza sana 😢 majibu sipati,alisema suzy nimeolewa na mume wangu kwa miaka 5 na tuna watoto 2, na tumejenga nyumba yetu nzuri na tuna usafiri wetu, kwa kifupi maisha yetu...
13 Reactions
117 Replies
1K Views
Wengi huwa wanajidanganya, kwa kusema fulani ni rafiki yangu wa katika shida na raha. Na wengine mpaka wanaitana shoga yangu n.k Ila ukweli ni huu; wote ni wasaka fursa, ila kwa sasa mnapeana tu...
14 Reactions
30 Replies
396 Views
Wakati wanaume wakitamba na ‘kula tunda kimasihara’, hawajui kuwa nao huwa wanapigwa matukio kimkakati na wanawake. Kuna waliosingiziwa mimba - wakalea na kutoa matumizi miaka nenda rudi (na...
9 Reactions
17 Replies
347 Views
VIJANA KWA KUJIPA MATATIZO HAMJAMBO. MAISHA YAKUUNGAUNGA(CHINI YA 1M) BADO UNAOA SINGLE MOTHER'S? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mtake msitake lazima muambiwe Ukweli. Hivi mmekosa wazazi wa...
5 Reactions
39 Replies
535 Views
Alikuwa anakaa Magomeni, sasa anajua kuwa mi ni mtu wa mguu na njia hasa nchi za watu huko nchini sikai sana. so akajua kuwa ntakuwa na mapene, basi akawa anahangaika sana kunitega maana tulikuwa...
10 Reactions
57 Replies
2K Views
Kuna dada nampenda sana, kila nikimueleza anakaa kimya na kujing’atang’ata tu. Je, ananipenda au? Nipeni ushauri wakuu. NAWASILISHA"
10 Reactions
104 Replies
1K Views
Kama Mlivyoona Kwenye Kichwa Hapo Juu Nataka kushea Story ya Maisha YANGU Kidogo Kama watu mtapata namna ya Kujifunza au kuburudika sawa Tuu.....ila story Ni ya kweli lakini Nitaichakachua kwa...
4 Reactions
52 Replies
3K Views
Mwaka flani nlienda Tanga kikazi. Nikakaa mwezi na nusu Hotel. Nilifanikiwa kupata mtoto mmoja mkali wa Kidigo. Sura nzuri kifua kimevimba hakuwa sana na Tako lakini si haba alikuwa akijua mahaba...
16 Reactions
46 Replies
4K Views
Ni zile aina ya ndoa mwanaume anatafutiwa mke na wazazi, ndugu wa wazazi au ndugu zake watu wazima.
6 Reactions
43 Replies
807 Views
Usije ukamwaga mpaka nikuambie 😭 Hii nikauli nliyokua naambiwa namkewangu mwaka 2025 lakini yote kwa yote tuliachana Kwa Sasa nibora nizae na mtuu kuliko kuoaa 🙏. Je ulishawahi ambiwa hii kauli
10 Reactions
31 Replies
690 Views
Poleepolee utasemaa yoote mama mkweee Hivi lile gari walikupatia kadi ama ndioo ulikuwa usanii na nkkweoo 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 nchitamuhiii
4 Reactions
7 Replies
428 Views
Mdau hivi kwanini kuna ongezeko kubwa la wadada wanaopenda hela kwenye mahusiano ?
0 Reactions
3 Replies
117 Views
..............UTAFITI ............ Nimefanya utafiti nimegundua kwamba, Kuoa siyo jambo jema kwani kuoa ni kumleta mtu nyumbani kwako Aje kula pesa zako halafu azae marafiki zake...
14 Reactions
57 Replies
830 Views
Uzi huu nimeuandaa baada ya kusoma post flani inatrend jukwaani muda huu kuna dada yetu anahisi mme wake anatumia ushirikina kujua mawasiliano yake ya watu anaoongea nao, Huenda ni kweli lakini...
59 Reactions
149 Replies
27K Views
Hawa kataa ndoa ni chama cha waliofeli kwenye ndoa. Wanadanganya watu ndoa ngumu ili watu waogope kuoa na kuolewa.ila yote n uongo ndoa hazifanani huwez jua bahati yako.
7 Reactions
12 Replies
115 Views
Jana nilikutana na binti mmoja. Kwenye 1&2 zakutafuta Wife material. Tukabadilishana namba na usiku tukachati mpaka kama saa sita au saa saba. Mazungumzo yalikuwa yakawaida sana tu Mambo poa...
7 Reactions
52 Replies
857 Views
They are built by two people who choose to give up on each other because love is not about who texts first or who wins every argument....🤗 Love is about staying, understanding, forgiving and...
6 Reactions
5 Replies
116 Views
Nimepost hapa hapa, Friendship connect (tuunge urafiki) tafadhali! Je umezaliwa tarehe zifuatazo 👇 kama jibu ni 'Ndio' karibu tuunge urafiki? 👉 Mei 21 hadi 31, 👉 Juni 1 hadi 20, 👉 Novemba 22 hadi...
9 Reactions
373 Replies
3K Views
Ni kweli kwamba ndoa ya wahuni waliokutana baa NDOA ZAO hazidumu ukilinganisha na watakatifu waliokutana kanisani?
2 Reactions
8 Replies
130 Views
Habari wakuu Natafuta mke wa kuoa Sifa zangu Elimu: Bacherlor degree of computer science Location: Dar es Salaam Umri : miaka 33 Kazi: Developer Dini: catholic Sifa za mwanamke ninayemtaka...
1 Reactions
2 Replies
203 Views
Back
Top Bottom