Kwanini wanawake wengi hupenda kufunga macho wakati wa kufanya mapenzi?

mambomoto

JF-Expert Member
May 10, 2011
326
195
nimekuwa najiuliza kwanini wanawake wengi hupenda kufunga macho wakati wa kugegendana sipati majibu. Labda ni kwamba wanaona aibu au utamu au sura zetu wanaume zinawatisha hasa wakati wa kupiga bao?
 
Mgirik

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
13,113
2,000
Niliwahi kuwauliza waschana wawili kwa wakat tofauti. Mmoja alisema anauskilizia utamu na wapili alisema anaona aibu kutazamana na mm uson
 
Tyta

JF-Expert Member
May 21, 2011
12,774
2,000
MjAxMy01YjU0NjY2NTIzZTIwOGY1.png
The-best-things-in-life-are-unseen-thats-why-we-close-our-eyes-when-we-kiss-and-dream.jpg
 
Heart

JF-Expert Member
Nov 29, 2011
2,674
2,000
nimekuwa najiuliza kwanini wanawake wengi hupenda kufunga macho wakati wa kugegendana sipati majibu. Labda ni kwamba wanaona aibu au utamu au sura zetu wanaume zinawatisha hasa wakati wa kupiga bao?

Mbona hata nyie mkiwa mnanyonywa mashine mnafunga macho....wengine hadi kelele... Otherwise,kila mtu ana namna yake ya kusikilizia utamu..mwingine anafunga macho coz anaumia.
 
kaka km

JF-Expert Member
Nov 16, 2013
1,336
2,000
Kwa wanawake wengi kitendo cha kufanywa n aibu na fedheha kwao,hvyo bora afumbe macho asione kinachoendelea,ni fedheha kwa ujumla kwa mwanamke akifanywa.
 
Churamagamba

Member
Dec 25, 2013
36
0
Mwanamke ameumbwa na aibu, hasa wale walofundwa wakafundika ndo maana anafumba macho, ndo maana ata akiongea na wakweze anaangalia chini, vilevile ata babake hawez mwangalia machon
 
kavale

JF-Expert Member
Dec 1, 2013
228
0
nimekuwa najiuliza kwanini wanawake wengi hupenda kufunga macho wakati wa kugegendana sipati majibu. Labda ni kwamba wanaona aibu au utamu au sura zetu wanaume zinawatisha hasa wakati wa kupiga bao?

Umesahau wanna wangapi
 
Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,180
2,000
nimekuwa najiuliza kwanini wanawake wengi hupenda kufunga macho wakati wa kugegendana sipati majibu. Labda ni kwamba wanaona aibu au utamu au sura zetu wanaume zinawatisha hasa wakati wa kupiga bao?

Ukiona hivo ujue kwenye akili yake anawaza mwanaume mwingne. ..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom