Ndoa za waliolelewa na mama pekee, ni Shida?

Ndoa za waliolelewa na mama pekee, ni Shida?

Penguinelli Cactussini

Senior Member
Joined
May 23, 2022
Posts
101
Reaction score
374
Kuna ukweli kwamba mwanaume aliyelelewa na mama pekee AKIOA mwanamke aliyelelewa na mama pekee WAKIOANA basi ndoa yao ni matatizo matupu?
 
Tabia tu ya mtu, kuna jamaa alioa bint alie lelewa na baba na mama yake mzaz..... Picha linaanza bint ndio wa kwanza kumshawishi mama yake aachane na baba yake, bint hatoi mchango wowote ule wa kimawazo au ushauri aisee jamaa akanyooshoa kikono juu 🙌😀
 
Kaa mbali na binadamu wa kike aliyelelewa na mzazi wa kike pekee.

Liars
Munipulators
Narcisists

Hawajuagi kusuluhisha matatizo yao na wanaume wao, wao kila kitu kwa mama!

Mama yake ndo anaendesha mahusiano yenu ila sio wewe na yeye.

Akili zake zinakuwa kichwa panzi/ Kichwa mavi kama mama yake.

Mara nyingi wanakuwa wana hisia za upande mmoja tu so upendo wa kweli wa kifamilia hawana.

Suluhisho, Ombea Mama yake adanje ndo mtaishi kwa furaha na amani kwenye ndoa au mahusiano yenu.
 
Back
Top Bottom