Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Suala la Kumpa Mwanamke Pesa au kumkopesha Pesa, ni Uamuzi wa Kiuchumi na sio Uamuzi wa Kihisia Ndiooo, Unajua huenda unampenda, au upo naye, lkn kiuchumi haupo vzuri, ndo umuache? Ndo akuumize...
9 Reactions
45 Replies
5K Views
Kuna Jamaa wako kwa Mahusiano lakini Hawajui hata yanahusiana nanini mahusiano ambayo sio yenye Afya kwao. Leo nawasaidia kwa huu Uzi, hili liwafanye kabla hujajiruhusu kumfanya Mwanamke awe wa...
44 Reactions
181 Replies
18K Views
Ivi umeshawah kutana na Jidada mmoja mwenye uchumi wake kukuzidi yaan wee unajiweza lkn yeye kakuzidi na umemuelewa kinoma yaan?? Au tu ni Mke wa mtu sema umemuelewa ?? Sasa leo nawapa siri...
15 Reactions
196 Replies
35K Views
Mapenzi ni Hisia , Kimahaba ninaweza yaelezea kua ni Hisia ambazo Zinakaa Damuni , Ubongoni, Moyoni, kila mahali ya Mwilin mwako. Na Inapokua ya kweli na dhati, kila mmoja anataka awe mahali pa...
40 Reactions
146 Replies
21K Views
Enyi Vijana wa kiume, ninachokiandika hapa, pengine mnaweza kukitafasiri mjuavyo, pengine mkasema hayana fomula!!. Kwa juu juu hata wanawake wenyewe hapa wanaweza kusema "Mwandishi sio Mwanaume...
100 Reactions
218 Replies
20K Views
guest-1787677877
Mi ni Mwanaume mwenye umri wa kati wa 4th floor. Katika kupambana na maisha miaka ya nyuma, niliishi mkoa mmoja kanda ya ziwa. Kutokana na mihangaiko, nikajikuta nimempa mimba binti mmoja ambaye...
69 Reactions
228 Replies
7K Views
Ilikuwa mwaka 2006 ndio nimemaliza chuo na kuajiriwa kwenye Taasisi moja ya fedha. Siku moja nikapigiwa simu na mdada, akasema amekosea namba, hakika kwangu alikuwa mgeni kabisa. Kwenye maongezi...
12 Reactions
40 Replies
7K Views
Kuna watu wanaohesabu hii kama umalaya Kuna wengine wanaamini ni sehemu ya kujaribu mpaka umpate yule mtu ambaye mnaendana Mimi binafsi naona kuwa na mahusiano mapya mara kwa mara sio tatizo...
9 Reactions
321 Replies
3K Views
Niko Iringa natafuta mke wa kuowa miaka yangu ni 50,nilikuwa nina mke lakini kapata matatizo ya changamoto za akili imebidi nimludishe kwa wazazi wake,mda mwingi nimeishi inje ya inchi toka mwaka...
11 Reactions
63 Replies
909 Views
Awe wa kabila lolote na awe singo matha mwenye watoto wawili maana ata na mimi pia mzee wa mika 30. umri 30-45 chin ya 30 hapana hao wadogo kwangu...
1 Reactions
1 Replies
76 Views
Habari ndugu zangu Naomba hii nipate uzoefu kutoka kwa wajuzi wa mambo, Inakuaje mtu ameolewa halafu anadai akopeshwe pesa lakini anakupa shariti la mmeo asifahamu kama kachukua pesa. Swali ni...
7 Reactions
53 Replies
732 Views
Wadogo zangu wa 2005 eti tayari wana watoto na wapo kwenye ndoa kweli sisi 2000 tushazeeka🤣🤣
4 Reactions
87 Replies
1K Views
Wanaume wadhaifu/Nice guys kwenye mahusiano au ndoa ni wale wanaokosa uwezo wa kusimama kama viongozi, kufanya maamuzi sahihi, au kubeba majukumu yao ya kihisia na kifamilia. Udhaifu huu hapa...
3 Reactions
1 Replies
219 Views
Nina miaka 30 sitaki vibint maana mimi mzee nataka singo matha wa watoto wawil alafu niongeze wawil wa kwang wote watakuwawakwangu. nataka atakaye ridh...
1 Reactions
16 Replies
221 Views
Naona saiv hili suala la wanawake kujitafuta kiuchumi kabla ya kuolewa lmekua common sasa. Zamani tulizoea mwanaume ndo anajitafuta kwanza kisha aoe lkn saiv meza imepinduka, kila mwanamke...
8 Reactions
46 Replies
538 Views
Singapore, mvinyo, na mrembo.nakula Maisha hayahitaji zaidi ya haya.na maisha polepole... na mrembo mzuri kando yangu 🍷🇸🇬
2 Reactions
18 Replies
394 Views
Hili limekuwa likinikishangaza sana 😢 majibu sipati,alisema suzy nimeolewa na mume wangu kwa miaka 5 na tuna watoto 2, na tumejenga nyumba yetu nzuri na tuna usafiri wetu, kwa kifupi maisha yetu...
13 Reactions
117 Replies
1K Views
Wengi huwa wanajidanganya, kwa kusema fulani ni rafiki yangu wa katika shida na raha. Na wengine mpaka wanaitana shoga yangu n.k Ila ukweli ni huu; wote ni wasaka fursa, ila kwa sasa mnapeana tu...
14 Reactions
30 Replies
396 Views
Wakati wanaume wakitamba na ‘kula tunda kimasihara’, hawajui kuwa nao huwa wanapigwa matukio kimkakati na wanawake. Kuna waliosingiziwa mimba - wakalea na kutoa matumizi miaka nenda rudi (na...
9 Reactions
17 Replies
347 Views
VIJANA KWA KUJIPA MATATIZO HAMJAMBO. MAISHA YAKUUNGAUNGA(CHINI YA 1M) BADO UNAOA SINGLE MOTHER'S? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mtake msitake lazima muambiwe Ukweli. Hivi mmekosa wazazi wa...
5 Reactions
39 Replies
534 Views
Back
Top Bottom