Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hii mada inawahusu wale waliooa au wanaishi na wachumba zao au wanaishi na mpenzi wake au anaishi na mwanamke tu. Je ni halali kwa mwanamke kubana tendo la ndoa bila sababu na baridi hii kali na...
18 Reactions
143 Replies
26K Views
Kumekuwa na kasumba iliyoibuka hivi karibuni ya mabinti kupenda mwanamme aliyeoa na hata kudiriki kumtegeshea mimba ili aolewe mke mwenza. Nina Brother yangu toka nitoke alipata kazi Shinyanga...
23 Reactions
169 Replies
3K Views
Unaweza pata mke mazingira ya ajabu sana.kama mimi huyu mke wangu tulijuliana naye msiban na nikaanza mazoea naye mpaka tukaja tukaoana.
2 Reactions
13 Replies
303 Views
Mpambano ni mkali sana huku ground wanaume wanatafuta bikra wanawake wanatafuta wanaume wenye marinda Dunia imeenda kasi sana kumpata bikira kipengele na kumpata mwanaume Mwenye uanaume ni...
3 Reactions
12 Replies
195 Views
Wale haters naona wamepungua kwa posts na nyuzi zangu Sikutaka kuwa napost haya! Ila wale wajinga waliosema nakaa kwa shemeji nikasema anhaa hadi wakimbie nyuzi zangu
3 Reactions
37 Replies
624 Views
Ila hao wanaoyakataa sijui wana matatizo gani.maana mimi saiv najiandaa kutoka out na kipenzi changu pinayah mtoto huyu wa kihindi ananikubali sana tupo naye hapa dar nilimtoa marekani.nikamwomba...
2 Reactions
12 Replies
221 Views
Umeangalia vigezo vyako kwamba ni kweli Hana mtoto ila kwenye kipengele Cha Tattoo akakuambia ujana , ulimbukeni na kuiga nawe ukakubali? NI SAWA BRO. Kitu muhimu uelewe visivyokuwa na shaka...
10 Reactions
91 Replies
1K Views
Nikisema Nikuahidi Mbwembwe Za G.S.M wa Katoro Ntakudanganya Mimi Na Uongo Hatukai Zizi Moja, Mimi Ni Mwembamba Wa Mwili ila Mnene Wa Mahaba Nakuahidi Bima Ya Amani Moyoni Na kifurushi Cha...
5 Reactions
60 Replies
585 Views
Huyu demu wanamuita shuu saloon, ni brand kubwa mjini anavo jiita yeye, sasa huyu manzi alipata ujauzito akajifingua, akadai baba wa MTOTO ni mwarabu wa Dubai mfanya biashara. Hatujaa kaa...
3 Reactions
21 Replies
609 Views
KWEMA WANAJUKWAA. Naamini JamiiForums kuna genuine ladies wasio na mambo mengi, watulivu, wasikivu, wacheshi, wenye urafiki wa kweli. Ningependa ujitokeze unaewiwa kutaka tuwe marafiki, umri ni...
15 Reactions
318 Replies
6K Views
Kwa mda mrefu nimeishi katika maisha ya kuunga unga sana chumba kimoja zile nyumba za kupanga za mabehewa ya train yaani mnakuta milango yote imejipanga ivi kama mabehewa. Ilikuwa ngum kuleta...
10 Reactions
20 Replies
479 Views
Nimeoa single maza sasa kuna huyu mtoto wake mpaka imefikia sehemu ananiogopa kunikumbatia na kunishika mkono. Maana anapigwa shoti. Wadau nini sababu ya hili. Karibuni
1 Reactions
20 Replies
350 Views
Habari za leo. Niko na hali mbaya kiuchumi,na msaada pekee ninaouona ni mchepuko wangu ndio naona anaweza kunipiga tafu,huyu maza alikua mke wa mtu akaachika so mimi nikawa najipigia...
6 Reactions
35 Replies
317 Views
Na hapo ndipo wanaume wengi wamekua watumwa, wafujaji wa Mali na Pesa, wamekua watu wa ovyo ovyo. Ukweli ni Kwamba kwenye Ngono, Kitaalam wanawake hupata Raha sana kuliko hata wanaume. Mwanamke...
14 Reactions
30 Replies
4K Views
Habari za asubuhi wana MMU. Niende kwenye mada. Huwa napita sana humu kwenye nyuzi na kugundua kuwa wengi walioko humu ni Gen Z. Hii ni kutokana na mada zao wanazoanzisha, au kwa namna...
8 Reactions
34 Replies
1K Views
Kila ukiingia JF napata faraja ya moyo.kiukwel la mama umeuteka moyo wang nasitosita kukupenda.ww lazima uwe wangu nakupenda sana.
6 Reactions
21 Replies
285 Views
Kwa nini ni rahisi zaidi kwa wanaume waliooa kupata girlfriends au wanawake wengine wa kuwa wapenzi wa muda mfupi au mrefu kuliko wanaume single?
5 Reactions
13 Replies
254 Views
Shida ni nini ndugu zanguni😁 Nimechungulia hapa Bar nikatamka kwa sauti kuu na ya mshtuko, "Mkeo anakuja", watu wote wametawanyika kwa kasi ya 5G, wengine wametawanyika kwa kuyumba yumba, wengine...
4 Reactions
8 Replies
235 Views
Mimi ni mmoja wa wanaume wenye wake wawili. Kwa uzoefu wangu, kuwa na wake zaidi ya mmoja si suala la starehe wala kujionyesha. Ni jukumu zito linalohitaji uwezo wa kifedha, busara, uvumilivu...
10 Reactions
62 Replies
740 Views
Back
Top Bottom