Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hali hii inatokea pale ambapo upendo wa dhati unapofika mwisho na hisia zinapokoma kabisa kati ya wanandoa. Wakati huu, kile chumba kilichokuwa chemchemi ya mahaba kinageuka kuwa uwanja wa...
9 Reactions
29 Replies
489 Views
Wakuu picha ndilo linaanza
3 Reactions
4 Replies
190 Views
Kuna warembo humu, watu wanawaogopa kuwatongoza na kuwanyima haki yao ya msingi ya kupendwa. Wapo humu waliokwisha jikatia tamaa, kutokana na kutokusemeshwa maneno mazuri mazuri na mabaharia...
15 Reactions
106 Replies
1K Views
Nimefanya tafiti nimegundua mwanamke anaweza ku squirt (katerero) na asifike kileleni!, na anaweza asi squirt na akafika kileleni!!. Kiufupi ku squirt ni jambo tofauti nakufika kileleni!, na...
17 Reactions
227 Replies
3K Views
Ipo hivi... Kuna siku nilikuwa napita mahali nikamuona mtoto wa kike jina alikuwa skola nilikuja kumjua baadae ametulia kwao hio asubuh juani akawa ananiangalia sikumsemesha nikapita zangu...
8 Reactions
33 Replies
670 Views
Mimi nilitongoza kwa mara ya kwanza nikiwa na umri wa miaka 16. Je na ww ulitongoza mara ya kwanza ukiwa na umri gani? Na ulikuwa na hali gani wakati unatongoza, kwa mfano mm wakati na tongoza...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Yule super Gademu,mburulaz ametoa hint kwa vijana wenzake jinsi ya kuwanasa le mitindizzz 1.Car Hii inakamata nambari Moja, sababu inaact kama catalyst, inaspeed up other attachments to comply...
2 Reactions
44 Replies
6K Views
Oya Nimekuja huu mji wa arusha kikazi.mwenyeji wangu kanileta hapa kwenye hii bar..wakuu kuna pisi sio za nchi hii. Asante for your attention on this matter.
20 Reactions
77 Replies
2K Views
Juzi nilipokwenda dukani kununua liwa kwa ajili yakurembesha uso wangu. Muuzaji alinifungia liwa hiyo kwenye kipande cha karatasi ambacho kilikuwa na habari inayomhusu Nabii Suleiman AS. Huyu...
7 Reactions
102 Replies
13K Views
Habari za usiku Mimi napitia changamoto ya kimahusiano. Tumenyamaziana na mwanaume niliyekuwa na mahusiano hii ni week ya 4. Kusema ukweli sina kosa lolote nililolifanya ila ni yeye ndio alikuwa...
22 Reactions
267 Replies
6K Views
Hiki kizazi aisee kina mengi. Binti kaumwa kazidiwa kumbe ni pumu, purukushani za kutafuta dawa zake zikaanza, kufungua huku na kule mara paah kimfuko kizuri kama vile vya wanavyowekewa wakienda...
50 Reactions
473 Replies
7K Views
Wenye kufahamu kwakina Nini maana sexual fantasy? Tupeane maarifa maujuzi sasa Uwanja ni wetu
6 Reactions
15 Replies
371 Views
Love is beutiful my people Tusiwachoke wake zetu regard ya mapungufu yao, tuendelee kuwapenda kwa dhati na tujitahidi kuwapa dozi kisawa sawa kama umemuoa jana
8 Reactions
16 Replies
342 Views
Mwanamke mmoja huko Lusaka, Zambia kamfikisha mahakamani mwanaume aliyalala naye mara moja na kuitaka mahakama imuamuru mwanaume huyo kulala naye tena kwa mara nyingine. Hii ni baada ya mwanaume...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Habari wasee! Ni Dakika Chache tu before sijaandika uzi huu mshikaji wangu ametoka Kugombana na Manzi wake kisa tu Hampigii simu mara kwa mara. Mshikaji anaishi Mwanza na Demu wake yuko Chuo huko...
7 Reactions
49 Replies
4K Views
Kipindi cha nyuma 1985-2000 simu zilikuwa nadra sana, Lakin pamoja na uchache wa simu, watu walitia maneno mpaka wenza wao wakawaelewa, Kwa wale wa juzi juzi mmerahisishiwa kazi sana, Mtu...
13 Reactions
122 Replies
9K Views
Mates; Binaadamu tumeumbwa kwa matabaka tofauti tofauti sio wa rangi wala jinsia, katika upande wa Personalites binaadamu yupo katika makundi mabalimbali. Kuna Makundi makuu mawili ya...
105 Reactions
922 Replies
110K Views
Umri wangu ni miaka 45 Kazi biashara ndogondogo Dini mkristo Makazi Dar Sifa za mke kuanzia miaka 30-42 Dini yoyote Karibu
7 Reactions
49 Replies
3K Views
Nahitaji mke alie serious kuna mke dini awe Muislam miaka asizid 24 mimi umri wangu ni miaka 29 niko serious Nahitaji mwenza wa maisha 🥀 mwenye Uhitaji na mwenye sifa hizo aje DM.
0 Reactions
5 Replies
197 Views
Asalam aleikum. Natafuta wa kumuita Mume wangu Kwa herufi kubwa popote niwapo nae wa kumuheshimu na kumpenda Kwa moyo ♥️ wangu wote .Wakumpikia vizuri na kumuhandle kama mume wangu ☺️ © sifa za...
34 Reactions
83 Replies
4K Views
Back
Top Bottom