mlinzi mlalafofofo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2008
- 842
- 1,547
Mnaoishi na wakwe zenu mtupe siri ya urembo
Yani wewe na mkeo au mumeo mmeamua kwenda kufanya maisha kwenye uwanja mmoja na wazazi wenu wa upande wa mume au wa mke. Au mmeamua kuwaleta hapo mnapoishi nyinyi muishi pamoja.
Nasema hivi nyinyi mnahitaji pongezi maana hilo jambo sio rahisi kama wengi wavyonafikiria.
Embu mtupe abc za maisha yanaendeshaje maisha ya kila siku humo ndani mambo kama ya zamu za kufagia, utaratibu wa hela ya mezani inakuwaje yani mnawekeana zamu na bamkwe au wewe ndo unasimamia shoo nzima, mambo ya miradi ya maendeleo inafanyikaje n.k.
Maisha kiujumla yanakuwaje humo ndani yani?
Wale wenye mawazo ya ''hlf ukijua itakusaidia nini'' bakini kwanza na mawazo yenu hayo yanaheshimiwa.