Nina miaka 30Unakuwaje na aibu mwanaume!!
Una miaka 14??
Sasa unakuwaje na aibu mdogo wangu, wanaume tunajiamini, kwani ukimtongoza huyo demu akikataa utapungukiwa nini.Nina miaka 30
Pengine wewe ni Last born miaka 30 aibu za nini sasa. Nilikuwa najua uko kwenye foolish age niseme ni jambo la kawaida.Nina miaka 30
Kutongoza usichukulie siliaz wewe fanya kama unamtania tu 🤣Kila nikijipa nguvu ya kumuapproach mwanamke naishiwa kabisa na maneno.sijui tatizo langu liko wap naomben msaada wenu wakuu.sijui kabisa kutongoza nina aibu mbel ya watoto wa kike.