Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Friday, August 07, 2009 7:22 AM Wanigeria wawili mtu na mkewe ambao walikuwa na nia ya kuyaamsha mapenzi yaliyopooza katika ndoa yao na kuamua kufanya mapenzi ndani ya kanisa juu ya 'meza ya...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Mwanaume mmoja nchini Kenya ambaye ni kiongozi wa chama cha siasa cha NEW FORD KENYA amepokea kipigo kikubwa kutoka kwa mkewe hadi akalazwa hospitali. BAADA YA purukushani kubwa, Bwana Robert...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
An Indian farmer has married his dog in a bid to overcome what he believes is a curse caused by him having stoned to death two mating dogs in his rice field, press reports said. The 34-year-old...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Gonga hapa chini uangalie Video hii kisha unaweza kutoa maoni yako.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
...Neno kuporomoka kwa maadili si neno geni masikioni mwa wengi. Ndoa nyingi za kisasa zimekuwa zinakumbwa na matatizo kiasi kuhatarisha maisha ya kizazi husika. Nani alaumiwe? Ni kosa la...
0 Reactions
36 Replies
6K Views
HELLO JF, mi nimetatizika na hili jambo la ndoa kati ya kimila na serikali hivyo ningependeza kujua maana kwa faida na hasara zipatikanazo katika ndoa hizi ili niwe makini nisije kutengeneza bomu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Let's talk ‘bout DATING & MARRIAGE: Speed Vs Traditional Dating -Technique & Acceptance The world is changing at alarming pace, economically, climatically and socially to name but few...
0 Reactions
58 Replies
12K Views
Ukipita mtaani unasikia watu wakisema Mwanamke Nyanga.Ina maana gani? na manufaa yake nini kwa Mwanamke na Mwanaume?Tuelimishane.
0 Reactions
62 Replies
21K Views
Sijui nianze vipi katika kuulizia lakini heading yenyewe inajieleza ,maana masuali mingine yanakuwa rahisi na wanaotaka kujibu wanakuwa wamishalielewa suali hata kama halijamaliza kuulizwa ,sasa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kuna kitu iwa kinanitatiza sana katika haya mahusiano ya mapenzi nacho ni kujua na kutojua.....naamini wengi iwa inawauma sana ukijua mpenzi wako anatoka nje ya ndoa. Je ni bora kuendelea kutojua...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Jamaa fulani ana karibia kuoa. Wenzie wanamshawishi akajirushe kwa mara ya mwisho maana baada ya hapo atakua "mfungwa". Kwa hiyo jamaa anatoka usiku na washikaji zake. Mida ya usiku sana imefika...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Hellow JamiiForum, what a great site have you been able to design and man. Its incredibly enjoyable and the best cause really nothing is missing. Congrates.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
A NEW study may help to explain why women who are HIV positive tend to progress to AIDS faster than men, even when the viral load is the same. Scientists at the Ragon Institute of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hi members of Jamii Forum! I hope every body is fine. wiki ijayo tunatazamia kuwa na ugeni mkubwa kutoka WHO, ni Mkurugenzi mkuu, ni mama huyu Magret Chan, ambaye atatembelea Ifakara Health...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
sijajua kama mada kama hii imeshawekwa humu au la. kama bado ni hivi, una rafiki yako, naye ana mwenza, mnapokwa nae anakuwa anawasiliana na mahawara zake kwa uhuru sana hata kukutana nao mkiwa...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Hope you all doing well. jamani naomba msaada..am not sure this is the right place for this but will go ahead..niwieni radhi! I lost my elder sister last year.. mwaka mmoja ulitimia July 20th...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wanajamii habarini za mchana, Nahitaji ushauri wenu katika hili swala limenitatiza sana,mwishoni mwa wiki iliyopita nilipata msiba wa Babu yangu huko kwetu Tanga,na nilipata taarifa jioni ya siku...
0 Reactions
52 Replies
6K Views
Asilimia kubwa ya watoto wa kike hasa wenye wapenzi ukikutana nao na kukupa stroy zao ni kuumizwa na wapendanao why?
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Umeshawahi kuketi chini na kujiuliza, kama yasingekuwepo maisha yangekuwaje? Kimsingi ni swali gumu na hakuna anayeweza kulitolea jibu la moja kwa moja. Ni sawa na wanaume wanavyojiuliza kwamba...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
"Having sex on average burns 200 to 300 calories and is slightly more entertaining than going to the gym. Do both together if you're feeling adventurous - the added excitement will burn extra...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…