some friends are really getting pains in their love life.........!
some friends are really going through a hell in their love life...!
some friends are in trouble......!
Wana-JF najua wikiendi ndio inakaribia ni imani yangu hili nalo lina nafasi yake katika mchakato mzima wa kuitafuna hiyo wikiendi. Ni wazi kila mtu ana utashi na kwa wakati wake anajisikia kupata...
Wapendwa natumaini wote mu wazima na mnaisubiria weekend kwa hamu.
Ninaomba mnisaidie katika hili.
mara nyingi huwa tunapokumbwa na mikasa ya mapenzi hasa tukitendwa na wenzi wetu huwa tunapata...
The sun is set
A day now gone
Darkness falls, wind blown
The worries of yesterday
Now forgotten, just for a moment
Here with me
Not anywhere else
Simply now, and today
Just...
Nasikitika kwanza kuwa pendekezo hili naliweka katika maneno ambayo hayajadailutiwa hata kidogo. Kwa maoni yangu, umefika wakati sasa wa kusema no kwa michango ya harusi, ama fedha au mda. Maoni...
Habari wanaboard
Ninawaomba mnisaidie naona akili yangu siku hizi inasizi.
Kuna ule usemi usemao :A way to Man's Heart is through his Stomarch......... mimi siuelewi jamani naomba mnisaidie una...
Mwanaume ni kama taa muda wowote kukiwa na giza unaiwasha na inawaka hapo hapo na ikimaliza kazi yake inazimika mara moja
Mwanamke ni kama pasi ukitaka kunyoosha nguo unaiwasha inachukua muda...
Jamaa yangu ndio kwanza ameoa, yeye na mkewe wote wanafanya kazi benki, sio ofisi moja.
Katika pitapita zake kwenye internet, kakutana na blog ya facebook, kasachiiiiiiiii, hadi kikaeleweka...
Wanakwaya wenzangu
embu naombeni tuache kumcheze mungu..hapa jiran kuna kanisa ambalo limekuwa na malumbano ya wanakwaya kuchapana mara kwa mara na hili likifika kwa mchungaji anawaita...
Hapo nilipo nalia sina pa kukimbilia
Mke kanikimbia na watoto kachukua
Sina pa kusemea dunia imeniinamia
Ndugu tusiwatenge wagonjwa wa UKIMWI
Nilipokuwa mzima, watu hawakunisema
si Rehema si...
It is so decided, that from now on and in perpetuity, singularly and categorically, the following rights are to be accepted fully by all persons in a loving, romantic, and exclusive relationship...
Habari zenu wanajf? hope mu wazima.
Jamani naombeni ushauri wenu kwa hili ninalofanya kama ni sawa au nakosea.
Mimi ni mdada ambaye bado cjaolewa ila nina mchumba ambae anakaa mbali na mimi...
Naomba kuuliza kwa w/ume hasa waliooa
Sisi uwa hatuna vitu kama kitchen Party za kufundishwa, Je tuishije na hawa wenzetu?
1. Kwa kumpa uhuru m/mke wa kupanga mambo yote ya kifamilia?
2...
Wapendwa, kuna kijana anaishi karibu na binamu yake ambae ni kama mlezi wake (anamuita kaka). Huyo kaka alifiwa na mke wa kwanza ambae alimwachia watoto 2 (mapacha), akaoa mwingine ambae amepata...
TAKWIMU HIZI ZIMENIFANYA NITAFAKARI.NDOA HUWEZA KULETA HATARI ZAIDI KULIKO KINGA DHIDI YA UKIMWI:
"According to the data from Tanzania HIV AIDS and Malaria Indicator Survey (THMIS) 2007-2008, the...
Wapendwa nina rafiki ambae pia ni jirani yangu. Urafiki ulianzia kwa mtoto wao wa miaka 4, tukafahamiana na mama wa mtoto na tukawa marafiki na hatimae nikatambulishwa kwa baba wa mtoto ambae pia...
Napenda kufahamu kama wanandoa hutumia mipira ya kike/ kiume (kama lile tangazo la familia con*om) linavyosisitiza juu ya upangaji wa uzazi. Je wanandoa hufaidi na kufurahia (enjoy) tendo lao? na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.