Jini hili au | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jini hili au

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Chipyopyo, Aug 24, 2010.

 1. C

  Chipyopyo Member

  #1
  Aug 24, 2010
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni Jini Jamani??!!!

  Ni hivi, nilikuwa natoka kazini nimesimama stand ya daladala nikisubiri usafiri kwenda home, ilikuwa kama saa tatu hivi usiku as usual tulikuwa wengi stand hivyo sikuwa na wasi kabisa.

  Ilipita Range Rover Sport ikasimama kwa mbele kidogo na stand na alishuka binti ambaye kiukweli sikumfahamu ila alionekana kunifahamu vyema kuanzia jina na mpaka ninapoishi. Nasema hivyo kwa sababu, aliposhuka kwenye gari alikuja direct kwangu na kulitaja jina langu sahihi na kuniambia twende nikupe lift kwa kuwa mie napita kwenu then naelekea kwangu.

  Kwa respect aliyonionyesha nilishindwa kukataa ila nilimwambia nipo na rafiki yangu na akakubali twende naye.

  Ila niwe mkweli Jamani! kuna wanawake wameumbwa jamani!! Huyu binti ni miongoni mwa walioumbwa vyema na Sir God!

  Kwenye gari alikuwa peke yake na mimi na msela wangu huku nikiwa nimekaa siti ya mbele tukistorisha. Nilijaribu kumdodosa ye ni nani na kanijuaje, kieukweli kabisa sikupata kumfahamu na simfahamu mpaka leo.

  Alinishusha kwangu na mshikaji wangu, ye akaenda zake na sijamuona tena mpaka leo.
  TATIZO lilonikumba ni kwamba, karibu kila siku huyu binti namuota kila mara ndotoni na huwa hizi ndoto huja mfano wa live hivii na ni almoast 5th months sasa.

  Ninavyomuota ni anakuja kwangu, hunisalimia, kunikumbatia na kunibusu kisha huondoka zake akitabasamu na ni siku moja nilimuota amekaa kwa muda mrefuu sana tukipiga story, believe or not ukiniuliza story zenyewe sikumbuki ila tulikuwa palepale kitandani kwangu.

  Marafiki na jamaa zangu wananiambia ni jini mahaba kanipenda, lakini je mbona hatu`do` kama inavyosemekana kuwa jini mahaba akikupenda mna`do` mpaka unakonda na kuchoka ile mbaya??

  Msaada wenu wana JF kwa anayeweza kufahamu hii situation maana nishaanza kuwa na hofu sasa na siku hizi namuota hata mchana nikisinzia na nikisema ninywe pombe ili nisimuote, huja amekasirika na kunifokea kwa nini nalewa.
   
 2. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Unalolote nawala huna hofu!!mwenyewe unatamani ku do sasa hapo hofu inatoka wapi??Angalia njaa zingine zinaponza!!kama ndo jini mahaba sas lenyewe linataka kukudo hupo tayari??wewe siunapenda m do??Subiri ndani ya week hii!!rudi apa jf nausiposema itakuwa 2x3!!:playball:
   
 3. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  May be.
   
 4. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  aaaahh mkuu vipi???acha kutuzuga mazee hiyo ni bongo film kwa jina inaitwa ''AISHA''.....hakuna ulichoficha ni hivohivo yyaaani sasa we watuzarau mkuubwa....au hay basi tufanye kweli nimekubali sasa vip wataka usaidiwe???????:lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol:
   
 5. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hilo linaitwa jini SOFTWARE wala sio jini MAHABA.
  Jini SOFTWARE linataka love story tu, ila Jini MAHABA mikasi kwa sana
   
 6. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #6
  Aug 24, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Sali na ukemee kwa imani yako yote...! Atatoweka...! Otherwise, unatuzuga au nawe umetamani kuonja, lakini njaa hiyo itakupeleka baharini...!
   
 7. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #7
  Aug 24, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  :hurt::hurt:
   
 8. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #8
  Aug 24, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,593
  Likes Received: 18,578
  Trophy Points: 280
  Wee Chipyopyo, acha kuzuga!.
  Katika hali ya kawaida, haiwezekani upewe lift ya demu bomba kwenye Range sport, japo hukusema ni ya rangi gani, itakuwa ni nyeusi!
  mtoto kaumbika kweli na wewe uko fit, ukakaa mbele eti unapelekwa tuu nyumbani, wala usimdadisi yeye nani?!.
  Halafu ufike ushuke bila kumg'anhania yeye nani?!
  Hata kuomba contact usiombe?!.
  Hii haijakaa vizuri?.

  Kisa kinaweza kuwa cha kweli, ila siamini ilikuwa ni usiku wa kihivyo, lifti unaweza kuwa umepewa ila sio kweli mtoa lifti alikuwa na Range,
  na huyo dada anaweza kweli alikuwa mzuri ila sio kihivyo unavyoeleza hapa.

  Hivyo hii habari yako inaishia kuwa ni fiction japo nakiri hadhithi nzuri!

  On the other hand, uwepo wa majini is just the atitute of mind ukijumlisha na kitu kinaitwa 'mind suggestibility', kujihisi umeona physical kitu kilichopo in your mind. Na humo humo kwenye majini, ndipo kwenye concepts za maghosti, mashetani, malaika etc etc.

  Ukizama kwenye Eastern Sciences, utapata elightment na kufunuliwa kuwa kila kitu ni wewe na your will power 'qui' tanmka 'ki' ndio mambo yote, zaidi ya hapo ni hadithi tuu na simulizi.

  Hata wale wafanya miujiza, wanatumia uwezo wao tuu kufungua uwezo wako, na ni uwezo wako ndio unaofanya mambo hata ikiwa ni kwa kupitia kwake ama hata kulitaja tuu jina lake!.

  Hizo ndoto unazoota ni nothing, just your mindi na ukiamua akija tena huko huko kwenye ndoto, unaweza kuamua kumalizia kabisa na ukiamka utajisikia fresh!
   
 9. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #9
  Aug 24, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  huna lolote hizo ni tamaa tu
   
 10. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #10
  Aug 24, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  NI jini kweli na next tyme uki do nalo kwenye ndoto lazima litafune korodania zako:mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2:
   
 11. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #11
  Aug 24, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  nenda kaonane na wachungaji....it will be alright:A S 8:
   
 12. T

  Tall JF-Expert Member

  #12
  Aug 24, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  1.Mara nyingi unachokifikiria sana ndicho ukiotacho ulalapo.
  2.Inawezekana una sifa zote za kufuatwa na jini ndio maana linakufuata.
  3.Amua moja unalitaka au hulitaki.
  4.Kwa taarifa yako jini ni shetani.Ukiamua kulitaka basi mambo yote ya kijini itabidi uyakubali.
  5.ukiamua kulikataa,mtafute mungu kwa bidii zote,hawa wawili hawapatani hivyo kwa kumtafuta Mungu...unamfukuza jini.
  NJUAVYO MIMI.
  1.SI VEMA KUCHEKELEA URAFIKI NA JINI,ANAWEZA KUKUPA PESA NYINGI SANA OK, LAKINI WAWEZA USIOE MILELE NA USIWE RIJALI KWA MWANAMKE YEYOTE.
  2.MASHARTI YAO NI MAGUMU SANA NA YA KIJINGA.
  3.HAWAAMINIKI KABISA.
  USHAURI WANGU.......ACHANA NAE KABISA.
   
 13. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #13
  Aug 24, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Haya bana full maushauri hapa ushindwe wewe tu na muvi lako tamu.
   
 14. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #14
  Aug 24, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 542
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo umelimiss jini jini ..pole sana ..ila ka story kako dah unatamani ku-do nae kwenye ndoto..:becky:
  pole
   
 15. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #15
  Aug 24, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,860
  Trophy Points: 280
  Na atajuta likikamata mimba....jaribu kulala ukiwa umevaa kondomu ndugu yangu Chipyopyo uzuie mimba na Ukimwi...majini nayo yanao huo ugonjwa sasa usijetuletea mavirusi yao kwenye mzunguko wetu.....:pound::target:
   
 16. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #16
  Aug 24, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  chipoyoyo kweli we chipoyoyo!!
  :lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::pound::pound::pound::pound::pound::pound::pound:
   
 17. Homo Habilis

  Homo Habilis Senior Member

  #17
  Aug 24, 2010
  Joined: Jul 2, 2009
  Messages: 189
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  :becky::becky::smile-big:teh teh hee mpwa unanimaliza kwa kicheko na maneno yako.:becky::becky:
   
 18. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #18
  Aug 24, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,860
  Trophy Points: 280
  Liambie likuachie hiyo Vogue kwanza...au isijekuwa wewe na mshikaji wako mlikula mandumu siku hiyo mkapanda Vitz nyie mnadhani Vogue.
   
 19. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #19
  Aug 24, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,860
  Trophy Points: 280
  Bofya thanks basi mpwa....:becky:
   
 20. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #20
  Aug 24, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Kanumba!!
   
Loading...