Uvae kama apendavyo yeye au kama upendavyo wewe?

Tall

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
1,425
165
Mpenzi wako anaweza kuwa anapenda rangi fulani au baadhi ya nguo,mitindo au mishono.
Je unafikiri lipi ni sahihi,kuvaa vile anavyotaka mpenzi wako utokee hata kama moyo wako hautaki au uvae utakavyo wewe hata kama darling wako hataki?.......mimi mawazo yangu nitatoa baadae.
 
You know what suits you the best, not all the time anaposema vaa hivi it means he or she is right at the end of the day wewe ndio unavaa nguo na ukitoka nje watu wakakwambia umechanganya mambo you will not tell them kwamba mke wangu au fiancee wangu ndio kaniambia nivae hivi wewe ndio mwenyewe uamuzi wa mwisho kwenye kuvaa mkeo au mumeo anaongeza additional touches
 
Kwa upande wangu huwa natamani kuona kama nafsi za wahusika wote wawili zina amani. Kwa hiyo anza na kama upendavyo ila mwishi wa siku ni kuangalia jinsi mnavyopenda. Hii ina-base kwenye fact kwamba 2 have became 1 and longer 2!
 
kama ipendavyo familia yenu.

na hii mara nyingi inakuwa mrengo wa kati....kama nyote wawili muna mitazamo ambayo iko kwenye extremes
 
To be yourself is more important.Jifunze kujipenda wewe kwanza.Na hata wenzi wanapaswa kuwa more understanding kwa vile mwenzie anapenda.Inaruhusiw kumbadilisha mwenzio taratibu taratibu lakini sio lazima.
 
Taratibu G,.... hebu tuweke sawa. Hapa una maana na dada, wifi, shemeji, mama, baba, mama mkwe, baba mkwe n.k n.k nao wapewe nafasi au?
 
Nina umri wa miaka arobaini na nne, mamaa anataka nivae kama wanamuziki wa bongo flavor.
Inaniumiza sana.
 
hamna.....DC

ni wewe na mumeo na watoto wenu (hii ndio familia niliyoikusudia)...........am sure opinion ya mumeo tayari itakuwa na japo chembechembe ya opinion ya mama yake, ndugu, jamaa, marafiki.
 
Nina umri wa miaka arobaini na nne, mamaa anataka nivae kama wanamuziki wa bongo flavor.
Inaniumiza sana.

Unaumia nini? Kama anataka poa tu mpe kitu anapenda. Kwani ingekuwa small house ungekataa?

BUT.. ni ngumu sana kuanza kufanya mabadiliko makubwa (overhaul) at old age kama hiyo, above 40.
 
kiranja mkuu................hakuna mwanamke asiyekubali ku-compromise hasa akina kuna juhudi imetumika.

sasa wewe anatakiwa ujirekebishe kidogo tu ..........bibie ataridhika
 
To be yourself is more important.Jifunze kujipenda wewe kwanza.Na hata wenzi wanapaswa kuwa more understanding kwa vile mwenzie anapenda.Inaruhusiw kumbadilisha mwenzio taratibu taratibu lakini sio lazima.
ni kweli kabisa Zion Douta kwanza inabidi uangalie nafsi yako mke inabidi aangalie test yako na kujaribu kuiboresha mimi mke wangu anapenda nivae casual na simple lakini mazingira ya kazi yangu yanataka tai na koti la suit hapo inabidi tu akubaliane na mie kwani ndio mazingira yanavyotaka na mimi pia naenda nayo sawa na ninapenda mavazi hayo
 
Mpenzi wako anaweza kuwa anapenda rangi fulani au baadhi ya nguo,mitindo au mishono.
Je unafikiri lipi ni sahihi,kuvaa vile anavyotaka mpenzi wako utokee hata kama moyo wako hautaki au uvae utakavyo wewe hata kama darling wako hataki?.......mimi mawazo yangu nitatoa baadae.

Atakapo niona na akanipanda itabidi atakuwa amependa style yangu na kama hajapenda style yangu itabidi kanipendea nini sasa? i come as a whole package..you take it or leave it....

Ila kama siku moja moja anataka nimvalie nguo flani na mie nimeipenda why not? i would love to take away his breath from time to time :A S 8:
 
Hii kitu mimi naona kuwa ni so much conditional...! What if mwenzio akakushauri uvae T-shirt Mbeya usiku, na wakati wewe ni mtu wa Dar? Au akakushauri uvae jacket Kariakoo, wakati wewe umetokea Ngorongoro? Bila shaka mtapisha tu! Au inakuaje kama mwenzio ni mwanamitindo, tofauti nawe, lakini akakushauri uvae vile...! Bila shaka ni vigumu kukop naye. Lakini pamoja na hayo, naye ana nafasi kubwa sana, japo kwa kuzingatia comfort-ability yako. Hata hivyo naye hutoa mapendekezo tu, na sio masharti...!
 
mimi nafikiri ni vema akanichagulia cha kuvaa na mimi nimchagulia,ila hili linategemae ukaribu uliopo kati ya wewe na mkeo,
 
Kwa upande wangu huwa natamani kuona kama nafsi za wahusika wote wawili zina amani. Kwa hiyo anza na kama upendavyo ila mwishi wa siku ni kuangalia jinsi mnavyopenda. Hii ina-base kwenye fact kwamba 2 have became 1 and longer 2!
Brother mie naona hii ya kwamba 2 have became 1 is very difficult... u can not just switch from whom u r to be what your partner want to be..may be u can act for the first 6 months and then u will be exhausted, and once you are exhausted you will start to show who you real are and there starts the problem ... but I think it is easy to be who you are and learn to accept each other flaws.. when you love someone you will be ready to accept the whole parcel..and try to work around each other's worthless, junky, crappy bits....
 
Hii kitu mimi naona kuwa ni so much conditional...! What if mwenzio akakushauri uvae T-shirt Mbeya usiku, na wakati wewe ni mtu wa Dar? Au akakushauri uvae jacket Kariakoo, wakati wewe umetokea Ngorongoro? Bila shaka mtapisha tu! Au inakuaje kama mwenzio ni mwanamitindo, tofauti nawe, lakini akakushauri uvae vile...! Bila shaka ni vigumu kukop naye. Lakini pamoja na hayo, naye ana nafasi kubwa sana, japo kwa kuzingatia comfort-ability yako. Hata hivyo naye hutoa mapendekezo tu, na sio masharti...!

Hapo umeingiza issue zinazohusu fani ya mtu na mazingira. Hilo la mazingira ni rahisi tu na mtu yeyote mwenye akili atakuelewa. Lakini hayo mabo ya fani inabidi kuyaangalia mapema tu wakati wa kuchaguana. Utapendaje mkeo avae jeans na top wakati ni nurse au mumeo atoke ki-bongo flava wakati ni njagu? Kuna mambo mengine ni magumu. Hata hivyo mara nyingi wachumba wanakutana kwenye hizo fani na ndio maana hakuna matatizo mengi.
 
Hii kitu mimi naona kuwa ni so much conditional...! What if mwenzio akakushauri uvae T-shirt Mbeya usiku, na wakati wewe ni mtu wa Dar? Au akakushauri uvae jacket Kariakoo, wakati wewe umetokea Ngorongoro? Bila shaka mtapisha tu! Au inakuaje kama mwenzio ni mwanamitindo, tofauti nawe, lakini akakushauri uvae vile...! Bila shaka ni vigumu kukop naye. Lakini pamoja na hayo, naye ana nafasi kubwa sana, japo kwa kuzingatia comfort-ability yako. Hata hivyo naye hutoa mapendekezo tu, na sio masharti...!
why not mie ntavaa T-shirt ya mbeya hata kama mimi ni mtu wa mwanza...kama kuvaa hiyo t-shirt will make him happy.. as long as I dont have to wear it everyday!!! sidhani kama atataka nivae kila siku....
 
Kwanza najipenda mie kama mie ..najua style zinazofanya nijione nimependeza na kujiamini hata pale nitakapotoka..hivyo basi alinipenda vile ninavyojipenda mwenyewe na siku zote anaridhishwa na uvaaji wangu. kwa vile sasa anajua style zangu hata akiniletea dhawadi zinaendana na vile nipendavyo..
Tunaongea Lugha moja
 
Sawa FL1,

Je itakuwaje kama sasa umeumuka kama kitumbua/andazi? Au mwanamume aliyekuwa anapiga body suits zake sasa yuko kama Capt Komba?

Sidhani kama tunatakiwa kuwa static/rigid ziku zote!
 
why not mie ntavaa T-shirt ya mbeya hata kama mimi ni mtu wa mwanza...kama kuvaa hiyo t-shirt will make him happy.. as long as I dont have to wear it everyday!!! sidhani kama atataka nivae kila siku....

Sikuwa na maana kwamba kuna t-shirts za mbeya na vinginevyo, lakini naongelea hali ya hewa ya mbeya na dar pamoja na aina ya mavazi ambayo mwenzio anakushauri uvae....!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom