Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wadau naombeni ushauri wenu nipo njia panda,Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 sasa,nipo njia panda katika kutoa maaamuzi,nina wachumba wawili lakini sijui ni yupi nimchague awe mwenza wangu...
0 Reactions
91 Replies
9K Views
Huyu ni Binti wa 25 yrs old ana B/F kwa muda wa miaka 3 sasa na pia anasoma Elimu ya juu katika chuo kimoja ..kinachomsumbua ni kwa nini mpenzi wake hajatangaza nia juu yake mpaka sasa.. Siku...
0 Reactions
287 Replies
20K Views
Mzee mwenzangu na "mtani wa jadi" Bw. Rashid Othman - Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa anaoza wiki hii binti yake Sabrina kwa familia ya kina Zungu (Mbunge wa Ilala). Kwa niaba ya sisi "wengine"...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
A theology professor was teaching about proverbs 15:1. He asked his students, ‘Why do we shout in anger? Why do people shout at each other when they are upset?' Students thought for a while, one...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
:lying:Don't even try!! Wanawake wa sasa wanajua kipi kinaendelea katika soka. "Egypt wasn't qualify for this 2010 WC"
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau kuna mahali sipaelewielewi hivi!Hebu tutupie macho nako! Mke kaleta House girl kutoka huko Kondoa mpakani mwa singida mchanganyiko na mnyiramba na Ukoo waki iraqy!!!Nadhani umenielewa!Hiyo...
0 Reactions
58 Replies
5K Views
Bandugu what are dos and dont of dealing with a broken heart?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu Jamaa na Marafiki Sijaingia kijiwe hichi siku nyingi kidogo muda mwingine tuko kwenye vijiwe vingine hongereni kwa mafanikio yaliyofikiwa na kijiwe hichi kwa miezi michache iliyopita mpaka...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
hivi ikitokea mtoto wako mdogo, lets say 4yrs ameingia chumbani kwako gafla wakati mkicheza mchezo wa baba na mama, anashituka na kuondoka. lakini later anaukuuliza baba ulikua unafanya nn ana...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
ffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffff
0 Reactions
16 Replies
3K Views
TRUE STORY in the late eighties, DSM: Kuna huyu bwana mwingine daktari ambaye alikwenda kusoma Urusi digree ya pili. Alikuwa anakaa Flat moja na daktari mwingine milango ikitizamana. Wake zao wote...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Je wafahamu 'ma- cougar' ni akina nani?! Bila shaka Mack Lessons zilizoletwa na BRAZAMENI (https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=11407) zitakuwa zimepata majibu kinamna yake...
0 Reactions
16 Replies
9K Views
wewe ni mwanamke/mwanaume una rafiki ambae mlipatana sana na kuheshimiana. wewe umeoa/kuolewa nae pia ana mwenzi wake, sasa inatokea kwenye ndoa yako kuna migogoro mingi inayopelekea hata kuiona...
0 Reactions
69 Replies
6K Views
'Noisy sex' Wearside woman spared jail for second time Page last updated at 18:11 GMT, Tuesday, 29 June 2010 19:11 UK E-mail this to a friend Printable version The court heard the noisy...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hii habari imenifanya nifikirie sana. Hivi huyu dada alikuwa na ugomvi na hili vuvuzela? Haiwezekani kweli kulipuliza kwa raha bila karaha na ukatoka mwenye furaha? Naamini wakati mwingine watu...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Angalizo;maneno yyenye msaada wanandugu ni wakati mzuri wa kujiandaa na maafa badala ya kuanza kukimbilia ma jaketi na mengineyo wakati watu wanakwisha incase umefika lodge ukaenda kuoga mara...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Kwenye foleni muda wa kwenda ofisini ukiona mwanamke yuko na mwanaume halafu wana nyuso za furaha, wanaongea kwa kucheka na kwa upendo, ujue hao ni ma boy friend na ma girl friend, au mtu na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Parents, children are a photocopy of their parents’ character You are the hydro power dams from which they Can tap the power of living light. But if the dams are empty of values, and the water...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani naomba mnisaidie kwa hili tatizo...... Imenitokea kama mara tatu hivi kiasi kwamba naanza jiuliza kama nna tatizo kubwa kisaikolojia au vipi?????? Not that i am proud of this but mara...
0 Reactions
64 Replies
7K Views
Huyo dada yuko wapi? Nilizoea kuona michango yake moto moto na mingine niliiona kama yenye utata vile. Ni muda mrefu sasa sijamwona jamvini. Kapotelea wapi jamani? Hope ni mzima na anaendelea...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom