Hii ngumu ila inauma... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ngumu ila inauma...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by semmy samson, Dec 30, 2010.

 1. semmy samson

  semmy samson Member

  #1
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :drum:WAUNGWANAEEEEEEEE HERIN YA MWAKA MPYA...............2011

  SKIA HIIIII!!!!!!!!!

  MPO SAFARINI WEWE NA MAMA YAKO NA MKE WAKO KWENYE MTUMBWI MNAVUKA MTO UPANDE WA PILI MARA GHAFLA GHARIKA LIKATOKEA NA MKABWAGWA KWENYE MAJI, KATIKA KUJARIBU KUJIOKOA UKAJIKUTA WEWE NDIO PEKEE UNAWEZA KUOGELEA, HALAFU MTO WENYEWE UNA MAMBA, MAMA ANAPIGA KELELE MWANANGU NIOKOE NA MKEO NAYE MME WANGU NIOKE, MARA GHAFLA MAMBA NAO HAO WANATIA TIMU NA ATAKAE KUWA WA KWANZA KUOKOLEWA NDIO ATAPONA MAANA UKISEMA UMRUDIE WA PILI TAYARI MAMBA WATAKUWA WAMESHAWASILI,,,,JE UTAANZA KUMUOKOA NANI MKEO AU MAMA.?

  MI SIMO..............................
   
 2. Tambara Bovu

  Tambara Bovu JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 19, 2007
  Messages: 586
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ili kubalance unawaacha wote
   
 3. A

  Aine JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aliye karibu yako ndio utamuokoa
   
 4. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Duh! firstlady una roho ngumu mi ningemuokoa alie karibu.
   
 5. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #5
  Dec 30, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Sahihisha huu mwaka. Niatarudi badae
   
 6. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #6
  Dec 30, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Kama wamezewa kupiga kelele, basi watajitahidi kujiokoa.... We rudi upambane na Mamba wasiwafikie wapendwa wako... Bora ufe wewe kwa ajili yao...
   
 7. semmy samson

  semmy samson Member

  #7
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  YourInteligent one of the thing nilikuwa nataka kujua kama mpo makini kusoma vitu vyote kabla ya kureply....Pouuuuuuuuuuuwa
   
 8. semmy samson

  semmy samson Member

  #8
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwanza!!!!!!!!!! mnaojiibu mmeoa?
   
 9. semmy samson

  semmy samson Member

  #9
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Askofu swala ni utamuokoa nani kati yao na sio upambane na mamba coz uwezo huo huna we unaweza aidha kujiokoa wewe na mmoja wapo kati yao.
   
 10. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #10
  Dec 30, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Ikitokea nitajua nimuokoe nani.....
   
 11. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #11
  Dec 30, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  haya maswali nakumbuka tuliwahi kuyasoma kwenye vile vitabu vya......nini kweli eti ..kumbe bado zipo tu..
   
 12. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #12
  Dec 30, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mkuu wa kaya yako ana kazi...
   
 13. b

  bob giza JF-Expert Member

  #13
  Dec 30, 2010
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 265
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  uzuri wa jf hatujuani, so wife atanisamehe..by the way hatajua...
  mm napiga chini wife...watu wanaoa na kuacha hata mara alfu, ila mama mzazi ndo huyo tuu...akifa sitakuwa na mama mzazi mwingine kamwe..ila wife akifa leo naanua tanga after few days then naoa mwingine..life goes on..mama ni mama na hakuna kama mama..mama namuokoa wife liwa na mamba..am sorry my wife!!
   
 14. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #14
  Dec 30, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,760
  Likes Received: 83,063
  Trophy Points: 280
  Kulikuwa na wimbo miaka ya nyuma uliuliza swali kama hili. Katika wimbo huo Njemba kama nakumbuka vizuri alikuwa na Wazazi wake wote wawili, Mke na mtoto. Kisha wakatunga mwimbo mwingine kujibu swali lao. Na jibu lao lilikuwa Baba na Mama wamekula chumvi nyingi , hivyo muokoe mkeo ambaye atakuzalia watoto wengine kwa maana hiyo na mwanao pia umuache apotee majini. Sijui kama wengi watakubaliana na jibu hili. Vyovyote utakavyoamua utabaki na majonzi ya hali ya juu for the rest of your life.
   
 15. tama

  tama JF-Expert Member

  #15
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 604
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35


  Ni sawa kama ni mama basi nitamuokoa yeye na kama ni wife pia sawa.
   
 16. v

  vegule Senior Member

  #16
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo pagumu sana especially kama wife wako mnaelewana sana ila kama mnaishi bora siku ziende utakuta unaelekea zaidi upande wa mama. Maana ktk situation kama hiyo, you become faithful to yourself, you listen to your heart.
   
 17. v

  vegule Senior Member

  #17
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa mfano mimi wife wangu aliyenicheat juzi kati kwa kutembea na rafiki yangu, obviously nitaegemea upande wa mama yangu mzazi. Hata sitachukua muda mrefu kudecide.
   
 18. GM7

  GM7 JF-Expert Member

  #18
  Dec 30, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 492
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wa o, wa o, wa o, tumekumiss Bubu Ataka Kusema ulikuwa wapi?
   
 19. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #19
  Dec 30, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,760
  Likes Received: 83,063
  Trophy Points: 280

  Nilikuwa nasukuma gurudumu la maendeleo la nchi yetu ili kulifikisha kule kileleni :yo:
   
 20. GM7

  GM7 JF-Expert Member

  #20
  Dec 30, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 492
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Katika mpangilio wa kuhesabu namba huwezi kuanza na 2 lazima utaanza na 1, kwa hiyo namba moja ni yule aliye karibu yako ndiye utakayeanza naye,
  Mfano wewe upo umbali wa mita 2 na mke wako halafu mama yako yuko mbali zaidi kama mita 5, hapa lazima utaanza na aliye jirani kabisa. Ukisema umpita halafu ukaanze na yule wa umbali wa mita 5 si hata huyu wa mita 2 atakushangaa?
   
Loading...