Hivi ni jamii(kabila) gani linaongoza kwa kuchapa Bakora au kuchapwa bakora? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni jamii(kabila) gani linaongoza kwa kuchapa Bakora au kuchapwa bakora?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Maalim Jumar, Jan 3, 2011.

 1. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Poleni na uchovu wana JF!
  Dunia ina mambo! Ukishangaa ya farao utakutana na ya mwingine...
  Hivi kuna makabila au jamii ambayo yenyewe ni majiant kwa kuchapa bakora? Au kuchapwa bakora?
  Mimi ninaanzia na wajomba zangu Wajaluo...hawa kwa kuchapa bakora ni namba wani...ambae hana kabisa hua ana wakuwachapa bakora wanne!
  Sijui na nyinyi mnalichangiaje?
   
 2. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #2
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  mmmhhhh pole sana..
  mi sijui kabila gani ila nakumbuka hiyo miaka ya nyuma shule ya msingi
  walimu walikuwa wanapenda kuchapa sana...
   
 3. DJ BABU

  DJ BABU JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 210
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  majita wa kiluo ni noma wanachapana balaa
  ila midemu yao gemu mpaka upigane
   
 4. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #4
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  Wakurya noma!
   
 5. DJ BABU

  DJ BABU JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 210
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hawa gangsta luv
   
 6. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #6
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  tusipowaweka wahaya, tutakuwa hatuwatendei haki. Mhaya kwake ni kama kila siku lazima ananihi
   
 7. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #7
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Hili neno T.o.m.b*n.a wamelianzisha wao?
   
 8. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #8
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Mmhhh!
  Siku hizi unaona wameacha?
   
 9. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #9
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  mmmmhhh mie siku hizi hata sifuatiliagi tena..
  nilipo maliza primary nilibeba viatu mkononi nyuma sijaangalia lol
  [​IMG]
   
 10. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #10
  Jan 4, 2011
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Kwa nini unadhani wanaJF wamechoka? (au unamaanisha ni wachovu?)
   
 11. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #11
  Jan 4, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,521
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Mpwa oyaole. May be u shld b specific. Make naona hujaeleweka. What do u min
   
 12. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #12
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Teh teh teh...umeniumiza mbav zangu mmmiiieeee!
  Nilikosa neno la hishma zaidi ya hilo...
  Nimemaanisha tangu asbh ..mchana..usiku...tumo humu...vichwa vina.....
  Nawapenda sana.
   
 13. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #13
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  What's ur problemee?

  Bado hujasema palipo kutatza !
   
 14. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #14
  Jan 4, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,521
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Cjaelewa wat do u min when u say Bakora.
   
 15. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #15
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Chiefmtz bana!
  Hiyo ni tafsida=fimbo ya babu!
   
Loading...