Wangapi wanakubaliana na hili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wangapi wanakubaliana na hili?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by afrodenzi, Jan 4, 2011.

 1. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #1
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  watu wawili wanapendana sana .. nani wanandoa kwa muda wa miaka 6..
  mama kagundua baba anatoka nje ya ndoa....
  alichofanya alimshauri mmeo wawe na open Relationship....

  Je jamani nataka kujua ni wangapi wangekubaliana na hili???

  samahani kuhusu dini wao ni wale watu wanaojiita Free Spirit
   
 2. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Nasubiri Definition ya "Open Relationship" halafu nitachangia!
   
 3. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,003
  Likes Received: 3,184
  Trophy Points: 280
  Kwanza inategemea na dini zao.
   
 4. H

  Hute JF-Expert Member

  #4
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,042
  Likes Received: 3,911
  Trophy Points: 280
  kama mwanamke ana mtindio wa ubongo labda, pia hujasema ni mtu wa dini gani, kwasababu pamoja na kwamba katika dini yangu mimi kuwa na wake wawili ni upungufu wa akili, kwa wengine kuwa na wake wanne ni bora zaidi.....so, sijui nisemeje?
   
 5. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #5
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  ina maanisha wote wanaishi nyumba moja lakini wanaruhusiana kutoka nje ya ndoa yao kimapenzi....
   
 6. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #6
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  wao ni free spirit
   
 7. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  An open relationship is a relationship in which the people involved agree that they want to be together, but in which romantic or sexual relationships with additional people are accepted, permitted or tolerated. To large degree this is a generalization of the concept of open marriage beyond matrimonial relationships.
   
 8. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #8
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  free spirit
   
 9. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #9
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  mmhhhhhhhhhh. ntakuja kuchangia baada ya hii gongo ninayokunywa ikiisha...maana hii ni pasua kichwa.
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  Jan 4, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hii kitu ngumu sana unless makubaliano yenu yana kitu fulani ndani yake ila kwa mila zetu za hapa its too difficult to accept it
   
 11. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #11
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  asante sana bibi kwa kufafanua...
   
 12. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #12
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  hahahahahahha lol haya
   
 13. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #13
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280


  i like that baba watoto...
   
 14. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #14
  Jan 4, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mh sasa na ile usemi wa mke moja mme moja vp? wanahatari hawa!
   
 15. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #15
  Jan 4, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Da Pearls heri ya mwaka mpya!
   
 16. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #16
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hii ni ngumu sana lazima kuna siku watanuniana kuona MALI yako inaliwa nawe unajua??!!
  Kama wanapendana ni bora wakae chini waweke mambo sawa!!
  Pia wakumbuke kuna Maradhi hiyo OPEN relationship ni mbaya!!!

   
 17. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #17
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  nadhani hawa wamegundua hayo manane watu hawayatilii manani enzi hizi...
  sasa wenyewe wameamuaku kuweka wazi kila kitu kuliko kuibia ibia lol
   
 18. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #18
  Jan 4, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Wasije ingilia workers wa Ghasia na asiwasikie kabsa na murder wanazotaka kugawa
   
 19. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #19
  Jan 4, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  kuna vitu vingine tunaona kwenye nchi nyingine wana practice wanaona ni sawa i think talking about open relationship kuna siku i was watching kipindi cha oprah winfrey show sasa jada pinkett na will smith wali claim kuwa they have open relationship swali langu la kwanza kujiuliza ilikuwa je hao watoto how do they cop with the fact that both mum and dad can have romantic or sexual relationship with additional people.

  Dah!!1 hii kitu ngumu sana kwangu
   
 20. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #20
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  hawa maisha yao ya ndo yalikuwa magumu sana
  kwasababu baba alikuwa anatoka nje ya ndoa sana
  sasa wameamua hii open relationship ndo solution maana hawataki divorce.....
   
Loading...