Natafuta mpenzi

kenny92

New Member
Jan 5, 2011
2
0
naitwa kenedy natafuta mpenz awe mweupe au maji ya kunde.miaka 18-23.ntampenda kwa dhati.thanks
 
mabata madogo dogooooo yanaogeleaaaaaaaaaaaa yanaogeleaaa katika shamba zuuuuuri la bustaniiiiiiiii....yanapendaaaaaaaa ku.......!!!!!
 
ah ah ah uwiiii huu wimbo umenikumbusha mbali sanaaaaaaaaaaaaa,mkono mmoja unaweka kwapani eeeh?
mabata madogo dogooooo yanaogeleaaaaaaaaaaaa yanaogeleaaa katika shamba zuuuuuri la bustaniiiiiiiii....yanapendaaaaaaaa ku.......!!!!!
 
Kwanza Salimia Kijana au mtoto maana umeingia bila hodi

Okay wewe nenda facebook utawapata na sio humu.
 
Ukuti.... Ukuti, Wa umeme wa umeme... Waingia upepo watetema tema tema.. waingia upepo watetema!!!!!!!!!!!
 
mabata madogo dogooooo yanaogeleaaaaaaaaaaaa yanaogeleaaa katika shamba zuuuuuri la bustaniiiiiiiii....yanapendaaaaaaaa ku.......!!!!!

Wanapenda kulia kwa kwa kwa kwa kwakwaaaaaaaaaaaaaaaaaa la la la la la la? thats Rose bwana,me like you! umenikumbusha mbali jamani.
 
Ukuti.... Ukuti, Wa umeme wa umeme... Waingia upepo watetema tema tema.. waingia upepo watetema!!!!!!!!!!!

maua mazuuuri yapendezaaaaaaaaaaaa...ukiyatzamaaaaaaaaa yanachekeleaaaaaaaaa.....HAKUNA HATA LIMOJA LINALOKUNUNIA.:A S 465::A S 465:
 
Jamani tuliosoma internationals tunawaachia wana wa uswahilini wakituimbia ma 'ukuuti ukuuti' yao
Nasisi tujikumbushe na twinkle twinkle little stars..how i wonder wat u r
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom