Mawazo (Picha)

Mtoto kafikiria akaona ajikalie tu chini maana jana alienda mjini akaona watoto wa saizi yake wakiwa kwenye mivx wanashuka na wazazi wake!!wameshika midori roho ikamuuma ndomaana hana raha.
 
Angalia nyuma ukuta wa hiyo nyumba - tembe. Anafikiria sana japo she know nothing about EPA, Richmond, Meremeta etc. Na hizo Meremeta etc ndo matokeo ya hiyo nyumba ya tembe na yeye kusoma shule ya kata au asisome kabisa. Kimsingi katika picha hii huyu mtoto japo hajui madudu ya CCM lakini anakomazwa vibaya kiakili kutokana na madudu hayo.
 


kutoka facebook huko:
mm... this is a very beautiful pic...

she might be thinking of;
domestic violence
how she loves her food
how good teh breeze is right there
how bad upatikanaji wa maji is
how nice her parent are
how rude her brothers/sisters are
how nice it was not a school day
how bad she didnt start standard one
how rude his dad is
when i grow up...
haya maji yana shida sana...
umeme umekatika tena...
baba kanunua bajaji...

a million words in such a simple and beautiful pic
 


kutoka facebook huko:


Kweli picha inatia huruma lakini tusiitafsiri kwa mtazamo wetu maana itatuumiza zaidi,hapo mtazamaji jaribu kufikiria kitoto zaidi na jibu utapata kuwa huenda alitaka kucheza na wenzake kisha wenzake wakamkatalia au wazazi wamemwambia alinde ndoo kwenye foleni ya maji wakati yeye anataka kucheza na akaona hajatendewa haki.Na inawezekana pia akawa hazina ya taifa maana watoto wengine huwa wanazaliwa na uwezo mkubwa wa akili na zinaonekana tangu utotoni.
 
Duh.....! Kanawaza kwanini na mimi baba yangu asingekua fisadi? Hizi shida zingekua kushneh, labda na mimi sasa ivi ningekua na soma international xkl uk.
 
Anawaza kwa nini baba alimlalia mama usiku halafu akawa anampigia kiuno bila huruma huku mama akilia kwa huruma!!! Unajua mambo ya kupanga chumba kimoja wakati una familia

...:shock:...:A S-devil1:....:bolt:
 
huyu mtoto inaonkena kabisa kadumaa au atadumaa. kwa haraka naona umri wake unaweza kuwa mkubwa kuliko umbile lake . Unaweza kukuta hiyo ndoo ya chakula au maji anajitwisha kichwani.

Nikiona picha kama hizi huwa nashindwa kuwaelewa watu wanaopteza muda kushabikia au kuponda matatizo au mafanikio y wa palestina na wa israle na wanasahu maisha ya wena ukoo na wanavijiji wa wa chimbuko letu.
 
Back
Top Bottom