Natafuta kabinti kateke (ila kawe 18+) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta kabinti kateke (ila kawe 18+)

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by funzadume, Jan 6, 2011.

 1. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2011
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,480
  Likes Received: 2,060
  Trophy Points: 280
  Jamani natafuta kabinti kadogo, kateke, english medium, dot. com ambacho kitakuwa kinaniliwadha kwa kuniimbia nyimbo za blues na swagga za kudeka deka hivi na kunitania tania na vijimambo vingine kama kuni-facebook n.k ila sio kuchakachuana

  Sina nia mbaya ni kutaka tu kujifurahisha mtima wangu na kupunguza stress za maisha ila narudia tena kuchakachuana NO
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  teh teh!
  me out vigezo nehi ahh ebu mie nikalilie mbele:spider::spider::spider:!!!!!!!!!!!
   
 3. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Funza ujasiri wako sasa naona umepitiliza!!!
   
 4. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #4
  Jan 6, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Huna stress za maisha rafiki................hujasikia kuchakachua is one of the Great stress removers? lol nakutania mwaya

  Kama una stress za maisha na mtima wenye huzuni, kabinti kateke hakatakusaidia, Njoo kwa Yesu akupe pumziko na amani ya daima.
   
 5. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mwone vilee!!!!!!
  sjakumissssssssssss!!!!
   
 6. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #6
  Jan 6, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  amen.
   
 7. DJ BABU

  DJ BABU JF-Expert Member

  #7
  Jan 6, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 210
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  oyaaa huku huimbi mabata?
   
 8. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #8
  Jan 6, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  yanaimbwa pakiwa na watoto km wewe.
   
 9. M

  Mama Big JF-Expert Member

  #9
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Asalaam alequm...bwana asifiwe upo?
   
 10. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #10
  Jan 6, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  nipo sweetie
  vp new beb boy ajambo?
  ptia kndn basi badaye ukitoka job
  nina umbeya mwaya yaan mpk folda zote zimejaa nafanya kusev kwenye xtenal
  njoo nikupashe mbwiga wee yaliyojiri mjin apa
  PRIMITIVE LIVING WTH PRIMINIST WAKE STL ON AIR...upo?
   
 11. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #11
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  nako kabinti kanatafuta kijana mteke hivi kaku rap ili awe anacheza pia mcheza kikapu anaona anamfaa zaidi nadhani nafuta mkubwa kwa size yako mi ntakuelekeza walipo
   
 12. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #12
  Jan 6, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  uzuri wa mapenzi yetu huwa yanajionyesha wazi tu,
  hayaitaji mtu kutafuta extra efforts kugundua hilo,
  OOOh...Thanks GOD!!!!!!
  UBARIKIWE MAMA!!!!
   
 13. M

  Mama Big JF-Expert Member

  #13
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hajambo naona kaamua kukabali sifurukuti kila wakati anataka maziwa na kubembelezwa

  Hata mimi pia naona extenal imejaa umbea karibu utamwagika... vipi leo wapi? kwa Eliza?
   
 14. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #14
  Jan 6, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  weeeeeeeeeee weeeeeeeeee mi ntakuwa matron wako plssss....:wink2::wink2:!!!!!
  mnyonyeshe uyoooooo mpe nyonyo anyonye anenepe asipate kwashakoo bure mtoto wa wawatu!!!!!
  njo kwa geto bwana km vp ndo tutapanda wote kwa jj au ?asi unajua kibajaj pbm?
   
 15. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #15
  Jan 6, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  tokaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!
  nataka uyoga wangu!!!!!!!!!
   
 16. f

  fidodido Member

  #16
  Jan 6, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  sasa wewe nenda wanakouza kuku wa kisasa utapata kateke

  hahahaha, tehetehe

  fidodido
   
 17. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #17
  Jan 6, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Why not you! nakuona una viwango almost vyote alivyotaka funza, labda hiyo '18..
   
 18. M

  Mama Big JF-Expert Member

  #18
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Poa ngoja nikanyonyeshe maziwa kwanza jioni ntakujulisha nikupitie saa ngapi
   
 19. M

  Mama Big JF-Expert Member

  #19
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Fidodido karibu sana mbona wewe mgeni lakini maneno mengi zoea kwanza forum
   
 20. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #20
  Jan 6, 2011
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,480
  Likes Received: 2,060
  Trophy Points: 280
  kwa kweli nipeleke nitakupa kifuta jasho kizuri tu
   
Loading...