Pete ya uchumba kwann huvaliwa na mabinti pekee?

tunalazimika

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
1,098
256
polen kwa ambayo yamekuwa yakijiri nchini kwetu tangu uteuzi wa wagombea, kuanza kwa kampen, uchaguzi, matokeo na mpaka tarehe 5january_Arusha. Kuna jambo limekuwa likinitatiza kila siku juu ya masuala ya mahusiano, jambo lenyewe ni pete ya uchumba_kwanini avae mdada pekee? Binafsi kitendo hiki naona kama kinambana mdada na kumuacha mvulana huru na kuendelea kuvunja amri ya thita kama hana akili nzuri wakati mdada akiendelea kuogopwa kwsbb ya pete yake. Nauliza kwann wote wasivae pete hizo?
 
Ni zawadi tu ya kukubali uchumba na ipo na mapambo zaid itabidi tudesgn ya wanaume pia
 
PETE YA UCHUMBA is presented as a betrothal gift by a man to his prospective spouse while he proposes marriage or directly after she accepts his marriage proposal. It represents a formal agreement to future marriage. Rings can be bought by the man, the couple together, or by each partner for the other.
INAWEZA KUVALIWA NA BOTH OF YOU......LAKINI WENGI TUNAIGA TRADITIONS ZA US NA UK AMBAO WAO NI BINTI PEKEE NDIE AVAAE
 
polen kwa ambayo yamekuwa yakijiri nchini kwetu tangu uteuzi wa wagombea, kuanza kwa kampen, uchaguzi, matokeo na mpaka tarehe 5january_Arusha. Kuna jambo limekuwa likinitatiza kila siku juu ya masuala ya mahusiano, jambo lenyewe ni pete ya uchumba_kwanini avae mdada pekee? Binafsi kitendo hiki naona kama kinambana mdada na kumuacha mvulana huru na kuendelea kuvunja amri ya thita kama hana akili nzuri wakati mdada akiendelea kuogopwa kwsbb ya pete yake. Nauliza kwann wote wasivae pete hizo?

Kwa sababu amekubali kuolewa
 
nadhani ni mtazamo tu na wengi kuIga vitu bila kujua maana halisi zamani zile wazazi hawakuvaa pete hizo lkn waliHeshimika sana mm mchumba wangu atavaa pete ya uchumba maana kama ni simbo ya kujulisha mm ni mchumba wa mtu so na yy avaa kuonyesha ni mchumba wa mtu but itakuwa tofauti na yangu!
 
jamani msimshangae alivo chumbiwa yeye, yeye alivaa pete mmewe akamvisha shanga. ila akikusikia kwa kuvujisha siri mhhhhhhh
 
nadhani ni mtazamo tu na wengi kuIga vitu bila kujua maana halisi zamani zile wazazi hawakuvaa pete hizo lkn waliHeshimika sana mm mchumba wangu atavaa pete ya uchumba maana kama ni simbo ya kujulisha mm ni mchumba wa mtu so na yy avaa kuonyesha ni mchumba wa mtu but itakuwa tofauti na yangu!

mbona ujanivalisha
 
Kama unamvalishaga ;mwenzetu' basi usidhani ndo kila mwanaume anavaaga!

na siwez KUWAZA WANAUME WOTE WANAVAAA..iyo nimeongelea mimi juu ya wangu..whats on u iz non of ma bussy buddy...actually i dnt wan knw t babu upo???????.....gd evening.!!
 
Back
Top Bottom