Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu ndugu zangu wa jf. Nina rafiki yangu alimaliza 4m four 2005 akapata D mbili2 kwa kua wazazi wake hawakua na uwezo alienda kufanya kazi za ndani. Baada ya miaka 3 akaamua kurudia...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
kwa miaka ya sasa sioni kama kuna haja ya kumbembeleza mwanamke kwa ajili ya mapenzi ili ama awe mkeo/mchuma au gf Kuna wanawake wengiii mno and fresh love is always tamu sana.Mwanamke ukimsihi...
0 Reactions
40 Replies
9K Views
Hii nimeitoa Michuzi blog, kwa wale vijana mnao tafuta wachumba kazi kwenu "Habari kaka Michuzi, Naomba unirushie tangazo langu Hili. Mimi ni msichana natafuta Rafiki ambaye yupo serious...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Hizi handbag za kina dada hizi!!? Je ni 7bu zipi zimepelekea post hii kuchangiwa?naomba kuwakilisha.
0 Reactions
80 Replies
7K Views
Salamu kwenu nyote Mabibi na Mabwana, natumaini mko Salama kabisa. Kuna jambo moja nimeliona likanipa maswali mengi, halafu nikawa sipati majibu mazuri. Kuna ndoa moja ya mume moja na mke mmoja...
0 Reactions
285 Replies
19K Views
Ni ndoa changa ina miaka mitano tu, maisha yao mazuri kwa Baba na Mama wote wanafanya kazi nzuri tu na kimsingi ndoa yao ina amani na utulivukwa kiwango kikubwa. Tatizo lao kubwa ni moja tu. Mama...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
  • Closed
Wakuu, Nipo Arusha sasa hivi na crew ya members wa JF toka Arusha na Dar. Maandalizi ni mazuri sana na maswali mengi yameulizwa na kujibiwa live. Ndo tunapata viburudisho baada ya session ya...
1 Reactions
1K Replies
69K Views
Unapoamua kuianza safari hii ndefu huna budi kuzikubali changamoto zake,Mapenzi ni matamu sn iwapo kwa wkt huo kila mmoja anampenda mwenzake huyo ukimuuliza atakwambia yeye hatamani kutoka tena...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ana watoto wa tatu mmoja std 3 wapili std1 watatu kindergarten. Anataka watoto zaidi kwani anadai haoni sababu ya kuwa na watoto wachache. Jamaa anasema mwanzoni alidhani ni utani lakini sasa...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Kuna ndugu anatabia za ajabu, anamtindo wa kufanya mapenzi na wanyama, mara ya kwanza alibaka mbuzi,wazazi wakamsema na akawa ametulia,ivi juzi amebaka nguruwe na wazazi wameamua kumwamisha kijiji...
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Ni vigumu kujuana kwa kina ndani ya uchumba maana kuonana kunakuwa kwa mara chache sana tunakoishi, na mara nyingi tunakutana bar, migahawani,bustani za mji, kwenye miti nk. Unaweza tambua tabia...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Love is holding hands in the street. Marriage is holding arguments in the street. Love is dinner for 2 in your favorite restaurant. Marriage is a take home packet. Love is cuddling on a sofa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
habari wana jf Leo nilikuwa mahali napata chakula cha mchana,ghafla wakaingia wadada wawili,tukasalimiana vizuri tu,baada yahapo kila mmoja akaendelea na makulaji yake,sasa wakawa wanapiga story...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Ndugu zangu, Inasemekana kuwa ni rahisi sana kwa mwanaume aliyeoa kumshawishi hawala yake wafanyie mapenzi nyumbani kwa mwanaume kuliko mwanamke aliyeolewa kumshawishi hawala yake wafanyie...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Nimegundua JF hutakiwi uwe mkweli ila siku zote unatakiwa kusema uwongo na kuwa mnafiki. Mimi kama mdada nimekuwa mkweli sana katika mambo ya kijamii ambayo yanamuhusisha kila mtu. ila shida...
0 Reactions
124 Replies
10K Views
Jamani hebu niambieni namsaidiaje huyu kiumbe. Few years ago nilikuwa na boyfriend where we loved each other to death, yeye mwenzangu alikuwa ni mtoto wa mama(familia bora, mboga saba),school...
0 Reactions
66 Replies
6K Views
Mi huwa napata kilaji kama nimem-miss sana, lakini kilaji kikikolea ndo nnam-miss zaidi.
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Habari wana JF Mwenzenu nimeoa (mke mfanyakazi) miaka mitatu iliyopita na kujaaliwa ka baby boy mmoja tu. Tatizo langu ni, mke wangu kamwachia majukumu yooote msichana wa kazi! Kwa mfano...
0 Reactions
115 Replies
10K Views
Maskini waweza hisi....,ni pdidy la hashsa soma habari hii ya kusikitisha pg 9 ya nipashe MKAZI MMOJA WA KIJIJI CHA KASEKEKESE MKOA WA KATAVI MAYUNGA SAMIKE 44YRS AMETUBU NA KUKIRI IBILISI...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Back
Top Bottom