Eti wana JF 2namsaidiaje huyu ndugu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti wana JF 2namsaidiaje huyu ndugu?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mwanakili90, Feb 21, 2011.

 1. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kuna ndugu anatabia za ajabu, anamtindo wa kufanya mapenzi na wanyama, mara ya kwanza alibaka mbuzi,wazazi wakamsema na akawa ametulia,ivi juzi amebaka nguruwe na wazazi wameamua kumwamisha kijiji mana ni aibu,sasa tunaushauri gan mana kaka yake ni rafki yangu mkubwa.nawasilisha.
   
 2. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mhhh!!! duniani kuna mambo!

  Nafikiri kumpeleka kijijini hawajamsaidia huyo kijana! Kuna mawili, aidha amepagawa na mapepo, ambayo angeweza kupelekwa kuombewa na akapona.
  Pili, labda ana tatizo la akili ambalo angepelekwa hospitalini, labda angeweza kusaidiwa! Kama ni tatizo la akili bado, maombi yanaweza kumsaidia! Pole zao!
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mshauri aendelee tu maana ufalme wa Mbingu ameisha ukosa. Mnaweza kumuhasi kwa kutumia burdizzo

  [​IMG]
   
 4. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  maonyo ya mara ya1 yalimsaidia,mana ni miaka2 imepita ndo karudia tena
   
 5. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  Agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!! Mchungaji Kumhasi? sio apelekwe kwenye maombi!!!!!!?
   
 6. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Swala la kumuhasi limekaa pabaya wadau,nadhan ntakimbizwa nikimshaur kaka ake iv
   
 7. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #7
  Feb 21, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mhhh....Rev. Masa, kondoo mmoja akipotea anaenda kutafutwa, sio unamwacha aliwe na mbwa mwitu.....

  Kama kuna pepo, inabidi mpaka aombewe na huyo pepo atoke, otherwize atarudia tena! Poleni.
   
 8. CPU

  CPU JF Gold Member

  #8
  Feb 21, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ana tatizo la kisaikolojia na anatakiwa atibiwe kisaikolojia
   
 9. M

  MEJUKA New Member

  #9
  Feb 21, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Akiombewa pepo akatoka tahadhari asije ingia kwa mtu mwingine
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  Feb 21, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Inaonekana huyo bwana maumbile yake ya siri hayathamini dawa yake ni kuyatoa na kumweka kwenye mambi!
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Feb 21, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Dawa yake ni kuondoa hizo Genitalia zake halafu ndo aombewe pepo!
   
 12. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #12
  Feb 21, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Duuu Rev.:A S 13: hiyo adhabu ni kubwa sana... huyo kijana atakuwa pepo anayetakiwa kukemewa!!!!
   
 13. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #13
  Feb 21, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mhhh...hapo sina comment Rev.....
   
 14. LD

  LD JF-Expert Member

  #14
  Feb 21, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mchungajiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!
   
 15. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #15
  Feb 21, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mhh! Jaman ii hadhabu mbna inakua kali.wazaz wake walitaka mwachia radhi ila watu wakawasih wa mfukuze.
   
 16. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #16
  Feb 21, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  maombi tu na atafute ushauri wa kisaikolojia,linatatulika wakiwa wavumilivu....wasimuhamishe kijiji,wampende zaidi na kumweka karibu.....
   
 17. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #17
  Feb 21, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  unajua wazaz wamechoka mana kumfanya NGURUWE imewafedhehesha.
   
 18. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #18
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  huu ndo ushauri makin,hope wataweza nielewa nikiwapa somo hili kwa urefu
   
 19. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #19
  Feb 22, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Maimum na mashekhe wanajua?
   
 20. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #20
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  wanajua vizuri mchungaj
   
Loading...