kokudo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 2,546
- 1,662
Unapoamua kuianza safari hii ndefu huna budi kuzikubali changamoto zake,Mapenzi ni matamu sn iwapo kwa wkt huo kila mmoja anampenda mwenzake huyo ukimuuliza atakwambia yeye hatamani kutoka tena hujitoa kwa khali na mali kulitetea penzi lake.Lakini yule anaeteswa na penzi ukimuuliza atakwambia mengi tena yenye kulaani huku akiahidi hatopenda tena maisha yake yote.Ushauri kama ni wewe ungemshauri nini yule anaetamani kuingia?na je yule anaetamani kutoka utamwambia nini?
Yote haya ni mapenzi.
Yote haya ni mapenzi.