I hate my Ex- | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I hate my Ex-

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by 22nd, Feb 21, 2011.

 1. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Jamani hebu niambieni namsaidiaje huyu kiumbe.
  Few years ago nilikuwa na boyfriend where we loved each other to death, yeye mwenzangu alikuwa ni mtoto wa mama(familia bora, mboga saba),school international mi nimetokea kule swahili academy a.k.a mtakuja primary school.

  After sometimes huyu mwenzangu akawa alcoholic bila ya kwao kujua,na mpaka walivyokuja kujua wakawa wanamuadhibu kwa kumnyima hela za matumizi, kwao walivyoanza kumtenga akaanza kuni abuse flani hivi, i mean nikiwa na hela basi nimpe yote akanywe pombe, nisipompa tunapigana.

  siku zikaenda miaka ikapita,alivyomaliza chuo kila akitafutiwa kazi(hawezi kutafuta kazi mwenyewe coz of ulele mama) baada ya muda lazima afukuzwe kwa ajili ya ulevi.
  Nikaanza kumchukia huyu kijana,maana akawa ni mlevi wa matapu tapu.

  Mungu si asumani wala rajabu, nikafanikiwa kuja ulaya kubeba box hapo ndipo nilipopata nafasi ya ku move on na maisha yangu na kumsahau.

  Tatizo ni kwamba anazidi kunisumbua na kila nikijaribu kumwambia abadilike hanielewi, he is about 30 bado yupo yupo tu anaishi na mama, mlevi wa gongo,ana kila aina ya kituko.
  Kila nikimwambia mimi na wewe tumemalizana hanielewi, eti anasema nimebadilika sababu nipo ulaya ana beep mchana na usiku.
  Now namchukulia kama best friend,nataka kujaribu kumsaidia angalau labda aache pombe.
  Nikampa condition kwamba akitaka turudiane basi aache pombe, akakubali, after two month naongea nae, nikamtania kwa kumuuliza"vipi leo haujanywa? alichonijibu ni kwamba eti hana hela,kama vp nimtumie hela ili akapate beer 2.. sasa hii ni akili kweli? alishasahu kwamba aliahidi atabadilika.
  i cant change my contacts na nataka awe out of my life forever nafanyaje? nisaidieni jamani.:A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:
  i just hate him
   
 2. s

  shosti JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  halafu sijui huwaga wanawapaga nini,maana mnawapenda kupita kiasi na hamsikii la kuambiwa.Binamu yangu yeye mpaka kangolewa meno nabado hela ilotumwa kumsaidia jaamaa kabeba kenda nywea mapombe mavi yake bado anaye tu na ukitaka kumsaidia lazma amtaje na huyo kibwengo mkubwa wa shetani:rain:
   
 3. shejele

  shejele Senior Member

  #3
  Feb 21, 2011
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 140
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mwambie tu kuna mtu mwingine kwenye maisha yako, kwa hivyo aendelee tu na maisha yake na ache hiyo tabia ya kukubeep beep coz jamaa yako anamind.
   
 4. LD

  LD JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mi mwenzenu sijui labda nitakuja kubadilika huko mbele ya safari? Lakini nikisema Nooooooooooooooo to you nimesema sirudi nyuma wala sigeuki, na nikisema Yesssssssssss nimesema kwa kumaanisha pia!!!
  Ni rahisi Yes kubadilika kuwa Nooo kuliko Noo kuwa YES!!

  Najua tunaishi kwa neema ya Mungu, so hata bila uwepo wako wewe nitakayeona sikupendi au nakupenda maisha yanaendelea tu. Ilimradi nisimkosee Mungu kivile!!

  Mwache abip atachoka ataacha, nini kubip apige masaa yote kumi na mbili kama sitaki kupokea sitaki tuuuu!!
  Na hawa watoto wa kwenye taulo hawa, daaa nikikuhisi tu we ni wa kwenye taulo, nakula kona tu manake najua hapo maisha lazima yawe magumu!!!

  So dada kwa nini uhangaike na mtu humpendi, tena yuko mbali hivoooo!!
  Hata tungekuwa tumepanga nyumba mmoja achilia mbali tunakaa mtaa moja, YES ni YES na NO ni NO!
   
 5. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Ukitaka ushauri ni huu fahamu katika mahusiano kuna wenza wanaweza kukusaidia ukawa very sucessfull in life na wengine wakakufanya uwe kama uliyechanganyikiwa kwa matatizo. Sasa jiulize Boyfriend wako yuko kundi gani. Kama ni kundi la mikosi na matatizo achana naye tafuta mwengine wa maana, kwani huyo hawezi kujirekebisha sana sana anakudanganya tu!!! Kama yupo katika kundi la mafanikio poa sana endelea nae tu kuenjoy maisha.
   
 6. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Tatizo nimesha achana nae na neno ITS OVER kwake nadhani imekuwa kama wimbo wa taifa, anapotea kwa muda then anaibuka tena na ku beep na msg za hapa na pale za kudanganya kwamba amebadilika.
  mi hata sijui namfanyaje, I wish angebadilika akawa kama wanaume wengine wa kawaida, hata awe anaingiza alfu 50 tu kwa mwezi,lakini unajua mtu huo ndio uwezo wake.
  ndugu zake wote wamemtenga na rafiki zake wote aliocheza nao anawakimbia kwa kuona aibu maana kila mtu amekuwa successful na maisha yao. alichofanya ametafuta marafiki wanywa gongo wenzake ambao hata shule hawajaenda.
   
 7. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #7
  Feb 21, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Kwangu wewe ni YES hata ukisema NO utabaki YES tuuuuuuuu
   
 8. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #8
  Feb 21, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35

  huyu yupo kwenye kundi la kurudisha nyuma, maana hataki hata akuone na cent, enzi hizo akiniona na alfu 10 tu, basi atawapigia wanywa gongo wenzake wote awape ofa kwa hela yangu. yaani kila nikikumbuka alivyonirudisha nyuma kimaisha natamani kulia. but anyway kila kitu kina happen for a reason.
   
 9. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #9
  Feb 21, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  yani nimeomba huu ushauri kwasababu ameibuka tena ananisumbua kinoma,yaani sina hata raha
   
 10. s

  shosti JF-Expert Member

  #10
  Feb 21, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mhh kuna kitu kinaniambia kuwa bado unampenda huyu jamaa:rain:
   
 11. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #11
  Feb 21, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  believe me, huwezi amini ninavyomchukia. then nimesha move on na maisha yangu
   
 12. LD

  LD JF-Expert Member

  #12
  Feb 21, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kaa lamoto, usije tu ukaniunguza mwenzio!!
   
 13. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #13
  Feb 21, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  wadadaaaa mnawapenda saaana wauza sura nadhani mambo safi toka family zao ndo zinawachanganya. kuna mdada mmoja na yeye yuko kwenye late thirties kazaa na jamaa ambaye ni mdogo kuliko yeyeee jamaa kwao mambo supaa jamaa si mlevi lkn mpaka leo anakaa kwa mpaka leo anafanya kazi lkn hataki kuoa hamtunzi huyo mtoto wake dada ukimwona alivyo mzuri jamani duh lkn amedata kwa huyo jamaa dada ana maadili mazuri saana anavyomnyenyekea huyo jamaa lkn jamaa wala halina habari. fikiria mtu anapigiwa simu anaambiwa mtoto anahitaji nguo ya krismas baba anasema sina hela mbona sikukuu imekuja ghafla!! tehe huwezi amini dada anasema hawezi kuzaa au kuolewa na mtu mwingine yeye anaamini iko siku jamaa ataoa tu na mwanzoni demu alipopata ujauzito jamaa alikomaa itolewe demu akakataaa so dada zetu jihadharini na wauza sura haoooo
   
 14. P

  Pokola JF-Expert Member

  #14
  Feb 21, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  sasa mkuu wauza sura watapata wapi wapenzi kama kila mtu atawakataa? Mi nafikiri tatizo sio kuwa mambo safi, ni mtu mwenyewe.
   
 15. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #15
  Feb 21, 2011
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  The thing is unaonekana still you real love the man kwa kweli. Cha msingi chukua maamuzi magumu ya kumuacha
  hawezi kukusumbua milele after all you have you own so humtegemei kihivyo najitahidi kuanzisha mahusiano mpya kama uko tayari ili kumtoa moyoni mapema
   
 16. Fugwe

  Fugwe JF-Expert Member

  #16
  Feb 21, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,680
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Kwani wewe hauna huruma kwa mwenzako??? amejirekebisha muhurumie mpe kile ulichokuwa unampa amekumbuka
   
 17. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #17
  Feb 21, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Muubirie ampokee YESU aokoke atashinda majaribu ya shetani ya Pombe
   
 18. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #18
  Feb 21, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Mara nyingi uwa na wasiwasi na AKILI ya WANAWAKE!

  Huyu mtu amekutenda, mpaka ukachukua uamuzi wa kwenda nje ya nchi...

  Baada ya kufika nje ya nchi unapata ki-simu cha kichina halafu unamtumia CONTACT...!!!!!!!!!!!!

  Nadhani aliyesema uhawala hauwezi kuisha alikuwa mkweli! kha!!

  Wewe mwenyewe ndiye uliyeanzisha mawasiliano baada ya kufika huko nje ya nchi, sasa unataka msaada gani?
   
 19. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #19
  Feb 21, 2011
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,866
  Trophy Points: 280
  Lakini inaweza kubadilika tho ni ngumu, ama :msela:
   
 20. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #20
  Feb 21, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  unamuendekeza mwenyewe....wewe si Mungu my dear wa kuweza kumbadili mtu.....ignore him,he does not deserve you kabisaaa!!!

  endelea na maisha yako,usijibebeshe mizigo mikubwa,the best you can do is to pray for him!!
   
Loading...