Wana JF wakutana Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana JF wakutana Arusha

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Maxence Melo, Dec 27, 2010.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #1
  Dec 27, 2010
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Wakuu,

  Nipo Arusha sasa hivi na crew ya members wa JF toka Arusha na Dar. Maandalizi ni mazuri sana na maswali mengi yameulizwa na kujibiwa live. Ndo tunapata viburudisho baada ya session ya maswali na majibu ya takribani masaa matatu.

  Ni jambo la kufurahisha sana kukutana na watu zaidi ya 20, kwa wakati mmoja ambao hamkuwa mnafahamiana kwa sura.

  Kilichonifurahisha zaidi kila mmoja katoa maoni yake na yakachangiwa na wenzake, bahati mbaya nitawaacha kwani nipo kwenye dozi, lakini wana JF wa Arusha nawashukuru kwa moyo wenu huu!
   
 2. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,821
  Likes Received: 1,167
  Trophy Points: 280
  shukrani kubwa sana wakuu,inabidi umuachie paka jimmy aendelee ku-update matukio zaidi,hili tukio muhimu sana inabidi liwekwe live.
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Dec 27, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Wow,

  Max... first of all let me congratulate you for keeping your promised, i read sometimes ago that you would be available for Arusha trip. I do also congratulate you for sharing your appreciation for the team you have met... I have had a privilege to meet a number of JF and i think seeing is better than reading, its a team of great people

  Kula raha mwana, nakuonea wivu lakini ndo hivyo tena mama chanja nae anahitaji nafasi this festive season

  Pole kwa dozi na ombi kwa wanaJF, next step iwe kupima afya na kujiunga na klabu za michezo, who knows, one day we may have our national and international bonanza

  I have a dream
   
 4. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #4
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Nawatakia kila la heri...Nawatamani.

  Salimia wote,PakaJimmy,Pretta,Wiselady,MJ1,FL,Matty,Teamo,Kaizer na wengineo...


  Uko kwenye dozi,are you sick,ndio maana ukatuzimia simu......
   
 5. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #5
  Dec 27, 2010
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Mkuu,

  Japo nilichelewa kufika lakini kina PJ walienda mbugani kwanza kama inavyoonekana kwenye picha hapa chini na ilikuwa ni furaha tupu.

  [​IMG]

  Sasa wakati wa kula mbuzi choma.

   
 6. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #6
  Dec 27, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,821
  Likes Received: 1,167
  Trophy Points: 280

  he he,and maybe our national government.:A S crown-1:god bless
   
 7. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #7
  Dec 27, 2010
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Dada Regia,

  Hata hivi naandika JF ni kwa makosa, Dr. kanizuia matumizi ya computer na simu sana lakini kwa issue hii niliamua walau niungane na wakuu hawa kuwaonyesha kuwa tupo pamoja katika hili.

  Tatizo nitalazimika kuwaacha nikatimize masharti ya Dr.
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  Dec 27, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Dddaaaaaayyymmmm..... :thumb:

  Enjoy while you can buddy... as for me its:A S-cry:... i have missed a great day
   
 9. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #9
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,231
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  It is a great moment out there!!! Duuh, ina maana watu huko mnakula bata eeh...hongereni sana. ngoja na sisi ambao tuko vichakani tutoke tuje huko...am joking guys. I wish u all the best wanaJF mlioko huko!!!
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Dec 27, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  hahaaaaaaaaaa... lets dream about it, who knows
   
 11. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #11
  Dec 27, 2010
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  And you have missed this either:

  [​IMG]
   
 12. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #12
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Pole sana kwa kuumwa na hongera kwa kujikaza na kufika Arusha.Hata ukiwaacha sasa sio mbaya kwa kuwa umefika.Na mwanangu wa hiyari Maureen yupo?
   
 13. Paw

  Paw Content Manager Staff Member

  #13
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,032
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Please stick to the doctor's prescription though your excited .
  BTW, goodluck and have nice time there with our brothers and sisters.

   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Dec 27, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Naona umeamua kunitia machungu... sawa bana, we kula raha mie naangalia asenali na chelsi
   
 15. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #15
  Dec 27, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  :teeth::hungry::A S crown-1::pizza::yawn:
   
 16. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #16
  Dec 27, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mkuu "jicho" acha bana max atupe live from arusha bana, gemu ya asenali na chesi haiwezi fikia utamu wa jamaa wa arusha
   
 17. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #17
  Dec 27, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,019
  Trophy Points: 280
  Mkuu M. Melo
  Pole kwa kuumwa, Mola akujaalie uponyaji. Pili hongera kwa kutekeleza ahadi yako ya kuwa Arusha. Tatu, hongereni crew nzima mlioko hapo, binafsi napamis sana
   
 18. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #18
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Acid mwache Max akampumzike.Kutekeleza masharti ya dakatari ni muhimu,afya yake ya baadaye ni muhimu kuliko taarifa ya leo.
  BTW wapo hapa kina PJ watatupa habari.,au humwuoni PJ nini?He is hia hia,now now...
   
 19. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #19
  Dec 27, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Haya ndugu yangu Max, siwezi acha ushauri na busara za moderetor 2 na regia zipite

  Kapumzike kesho utupe habari zaidi, maana najua hang-overs zitakua bwerere

  LOL:bolt:
   
 20. Profesy

  Profesy Verified User

  #20
  Dec 27, 2010
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  huu mkutano ulitangazwa?
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...