Kwa nini wakati wa 'kuibana' wanawake hujisahau kuliko wanaume??

Kingcobra

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,000
309
Ndugu zangu,

Inasemekana kuwa ni rahisi sana kwa mwanaume aliyeoa kumshawishi hawala yake wafanyie mapenzi nyumbani kwa mwanaume kuliko mwanamke aliyeolewa kumshawishi hawala yake wafanyie mapenzi nyumbani kwa mwanamke. Inasemekana pia kwamba mwanamke akishawishika hujisahau kiasi cha kuvaa hata kanga na ndala za mke wa mwanaume na kutoka navyo nje asubuhi bila wasiwasi hatua ambayo ni ngumu sana kuifikia mwanaume. Eti wanaume wakati wote akili zao akili huwa zinawaza fumanizi.

Jamani, kuna ukweli wowote kuhusu hoja hii?
 
Ahahahaah! Sijawahi sikia hii, huenda kuna ukweli. Tusubiri wataalamu wa kuiba na waliowahi kushuhudia watupe uzoefu!
 
Katavi umenichekesha eti wataalamu wa kuiba!!! Ngoja tuone kama watajitokeza!!!
 
sidhani we mwizi akiiba atasema wafkiri.... lakini jf tuna wanaume watauwa huwa hawaibi wao,,,wala walichohalalishiwa tuu..heheheh loool.....:A S 13::A S 13:
Katavi umenichekesha eti wataalamu wa kuiba!!! Ngoja tuone kama watajitokeza!!!
 
Katavi umenichekesha eti wataalamu wa kuiba!!! Ngoja tuone kama watajitokeza!!!
Na pia humu kuna wanachama wa chama fulani kinaitwa sijui "Inf......." Walikuwa wanaijadili katiba yao kipindi fulani, wao haya mambo watakuwa wanayajua, tuwasubiri!!
 
heheheh hebu twende tukanywe chai,,,, haji mtu hapa abuy utatoa vijicho hivyo mpaka uchoke inuka,,,, haya inuka tukanywe chai...
Na pia humu kuna wanachama wa chama fulani kinaitwa sijui "Inf......." Walikuwa wanaijadili katiba yao kipindi fulani, wao haya mambo watakuwa wanayajua, tuwasubiri!!
 
inaonekana wanawake wanajisahau zaidi kwa sababu wanajiona kama wakiwa na mwanaume popote pale wanakuwa na uhakika wa usalama wao!
 
Wee Kingcobra kama una uzoefu si utuambie tu! Thread yako inaonekana kama unatushirikisha uzoefu wako lakini unatumia lugha ya third party ya 'eti inasemakana'. Anyway, ngoja tusubiri wazoefu wa kuiba wake/waume wa watu, lazima watajitokeza tu.
 
Ndugu zangu,

Inasemekana kuwa ni rahisi sana kwa mwanaume aliyeoa kumshawishi hawala yake wafanyie mapenzi nyumbani kwa mwanaume kuliko mwanamke aliyeolewa kumshawishi hawala yake wafanyie mapenzi nyumbani kwa mwanamke. Inasemekana pia kwamba mwanamke akishawishika hujisahau kiasi cha kuvaa hata kanga na ndala za mke wa mwanaume na kutoka navyo nje asubuhi bila wasiwasi hatua ambayo ni ngumu sana kuifikia mwanaume. Eti wanaume wakati wote akili zao akili huwa zinawaza fumanizi.

Jamani, kuna ukweli wowote kuhusu hoja hii?

Inasemekana kutoka wapi,source ipi?
Hayo ni mawazo yako na unapaswa uyaweke hivyo,usiogope bwana...well ngoja tuone wadau wana lipi la kuchangia.

Ndugu zangu,

Inasemekana kuwa ni rahisi sana kwa mwanaume aliyeoa kumshawishi hawala yake wafanyie mapenzi nyumbani kwa mwanaume kuliko mwanamke aliyeolewa kumshawishi hawala yake wafanyie mapenzi nyumbani kwa mwanamke. Inasemekana pia kwamba mwanamke akishawishika hujisahau kiasi cha kuvaa hata kanga na ndala za mke wa mwanaume na kutoka navyo nje asubuhi bila wasiwasi hatua ambayo ni ngumu sana kuifikia mwanaume. Eti wanaume wakati wote akili zao akili huwa zinawaza fumanizi.

Jamani, kuna ukweli wowote kuhusu hoja hii?

Unacheza kweli wewe uje kitandani nakolala mimi??? Kafanyie uf***** na uj**** wako hukooooooooooooo kwenye magesti na mahoteli uje nyumbani kwangu kwanza utaanzaje??? He he hehe kweli kuna watu akili zao finyu ha?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom